Kwa wale walioko kwenye ndoa/mahusiano ya muda mrefu(wanaoishi pamoja)

Ukweli huwa ni mzuri tangia mwanzo ili kuja kurekebisha matatizo mbeleni, bora kusema ili ujue ka MTU ataendelea na wewe hivo hivo
Sure!!

Kuna kitabu kina habari ya kweli kuhusu msichana ambaye aliwahi kuumwa na ktk kutibiwa akaambiwa hatokuja kupata mtoto.Alipopata mchumba akamweka wazi kuhusu tatizo lake na chakushangaza jamaa akamwuliza kama sio Mungu aliyesema hutopata mtoto mimi nnaamini tutapata watoto.Walioana na kupata watoto japokua ujauzito wa kwanza ulitoka....
 
Mahusiano yaliyojengwa kwenye ukweli na huwazi udumu hata yakitokea maneno unakuwa ulishajua na huwezi kumpa mtu maneno nafasi, kibaya uongo Mimi MTU kadaganya naingia ndoani ndo naanza kusikia kuhusu watoto Mara hiki hapo lazima mpasuke na uaminifu ufe.
Wanaume wengi husema kuwa bila kutudaganya eti htunawakimbia si kweli kabisa, nimewahi kuwa na MTU kwenye mahusiano alikuwa mkweli hata hakifanya kisichofaa anakwambia nilipitiwa mpaka Leo tunaheshimiana ila muongo, muongo ni hatari huwezi dumu kabisa
 
Kuna watu wanaficha watoto,
Kuna watu hawaweki wazi kama kwenye familia zao kuna magonjwa ya kurithi,
Kuna watu wanaficha majukumu waliyonayo kwenye familia zao kama kusomesha ndugu zao na n.k,
Kwahiyo mambo mengi huja kujulikana ndani ya ndoa hapo ndipo matatizo yanapoanzia.

Nmekupenda hapa.
 
Kweli. Bora kuuliza udanganywe ipo namna ya kuanza kujinasua kuliko kuto uliza yakukute, utamlaumu nani/unaanzaje kutoka tatizoni?

Hao watu ni waigizaji wazuri sana, bora ujue umedanganywa kabla kuliko kuja kujua baada ya ndoa

Binafsi ntaumia zaidi nikijua nilidanganywa.Ni bora niumie kwa kutokuuliza kuliko niulize niambiwe jibu ni A halafu baadae nigundue haikua A bali B....
 
Mahusiano yaliyojengwa kwenye ukweli na huwazi udumu hata yakitokea maneno unakuwa ulishajua na huwezi kumpa mtu maneno nafasi, kibaya uongo Mimi MTU kadaganya naingia ndoani ndo naanza kusikia kuhusu watoto Mara hiki hapo lazima mpasuke na uaminifu ufe.
Wanaume wengi husema kuwa bila kutudaganya eti htunawakimbia si kweli kabisa, nimewahi kuwa na MTU kwenye mahusiano alikuwa mkweli hata hakifanya kisichofaa anakwambia nilipitiwa mpaka Leo tunaheshimiana ila muongo, muongo ni hatari huwezi dumu kabisa

Kweli, no one is perfect.
Cha msingi ni kuyakubali madhaifu yetu na kuwa wakweli.
 
Binafsi ntaumia zaidi nikijua nilidanganywa.Ni bora niumie kwa kutokuuliza kuliko niulize niambiwe jibu ni A halafu baadae nigundue haikua A bali B....
iNgawa kuumia kwa kutoouliza haeleti nafuu, Mtu akidanganya unakua huru kumuadhibu ama kusamehe kwa maana ya kuendelea ama kutoendelea na mahusiano.
 
Suala lingine ambalo naweza kusema ni la muhimu, ni kuwekana wazi , jinsi gani mtakavyo ungana kwa pamoja kusaidia familia zote mbili bila kupendelea upande.

Hata Kama upande mmoja unajiweza kuliko mwingine, wahudumieni wazazi katika tabaka moja...sio huyu akiugua anaenda Mwananyamala kutibiwa, mwingine anaenda Agha khan.

Mkiafikiana hili na mengineo yanayofanana hakutakuwa na maneno toka kwa wakwe.
Kuhudumia kwa usawa atakuitikia kabla baada ya kuoa sahau waume wenyewe hao kutwa kudharau jinsi ya kike ni 10 kwa mmoja
 
Why marriage tester?Kwani ndoa ni ghafla hivyo?Hapo utalenga kutest nini hasa kwahiyo miezi 3?

Usimpende mtu ndio ukaanza kumchunguza, kwani hutoyaona mapungufu yake na hata ukiyaona utajisahaulisha/hutayapa uzito.

Kipindi cha urafiki ndio kipindi cha kujuana ambapo wewe pekee ndio unajua mipango yako.Baadae kwenye uchumba jamii inayowazunguka inaanza kufahamu huku ukiendelea kujiridhisha.

Katika hizi hatua mbili(urafiki na uchumba) mkiwa waaminifu/wakweli, itakua vigumu sana kutokuelewana kwenye ndio.

sijui kwa nini ila naona urafiki/uchumba hautoshi kujua kila kitu…tester ni nzuri,mnajuana udhaifu wenu na kujua kama mta accommodate each other kwenye mapungufu hayo...endapo mtaoana…..akupikie kila siku,kufulia nguo,etc na yeye ajue ukitoka kazini unarusha ma socks huko,una amri na hubembelezi…. :D:D:D:D...baada ya miezi mitatu,utajua tu mbivu na mbichi,tabia haijifichi……………………..ila katika jamii yetu sioni hili likitokea labda vizazi vijavyo lol
 
Unakuta kale kamshahara nilikojua katatusha mimi na make wangu kanakuja kuwa hakatoshi sababu sikupewa taarifa juu ya hayo Matumizi ya ziada, Kama Ada, Ujenzi wa nyumba za wazazi, nk
Wengi wabinafsi mama penzi likiwa moto atakubali lakini ukiingia utaambiwa hiyo ilikuwa zamani, kuna kabila nyingine wanasombana kama siafu
 
Wengi wabinafsi mama penzi likiwa moto atakubali lakini ukiingia utaambiwa hiyo ilikuwa zamani, kuna kabila nyingine wanasomnana kama siafu
Kwa hili, umaskini hautakaa ututoke
 
Back
Top Bottom