Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
sijui kwa nini ila naona urafiki/uchumba hautoshi kujua kila kitu…tester ni nzuri,mnajuana udhaifu wenu na kujua kama mta accommodate each other kwenye mapungufu hayo...endapo mtaoana…..akupikie kila siku,kufulia nguo,etc na yeye ajue ukitoka kazini unarusha ma socks huko,una amri na hubembelezi…. ...baada ya miezi mitatu,utajua tu mbivu na mbichi,tabia haijifichi……………………..ila katika jamii yetu sioni hili likitokea labda vizazi vijavyo lol
Binafsi nnaona haitofanya kazi.Mtu anaweza kufanya maigizo kwa hiyo miezi mitatu.
Ndoa ndoano nyingi huwa si ndoano kwenye hiyo miezi 3 ya mwanzo.