Hata wa kutongoza sioni...nioneshe basi
Ninaye..naachake kuwa na mrembo wa kunipa Fatuma mcheka hovyo?Darmian na wewe huna??
Penzi jipya ni kama gari jipya tu hua halisumbuliwi ata na trafik sasa subiri lianze kuchoka linawez pata tu pancha ukaliacha hapo ata kwa miezi miwili wakat spea unayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Joy increase when it is shared..!Sasa kama mtu yupo happy unampa tena support ya nini ?
Daktari kazi yake ni kutibu wagonjwa sio kuwasifia wenye siha njema
Ebu tuwe positive rationally
Ahsante Vinci'..!!Karibu nawe nikumwagie maupendo ya dhati
Ninaringa tu kwa nia njema, sababu Vinci kanimwagia maupendo..!!Mwee mama atanipiga ukianza kuringa
Sikufai..Ninaringa tu kwa nia njema, sababu Vinci kanimwagia maupendo..!!
Ukijua kujipa thamani na kujiamini utakuwa kijana bora sana Vinci'..! And I am telling you this everyday.!!Sikufai..
Nimekuelewa mkuu.Ukijua kujipa thamani na kujiamini utakuwa kijana bora sana Vinci'..! And I am telling you this everyday.!!
Just Learn to be that.!
Sema kuna watu tumeumbwa kuwa Single tuu.Ukijua kujipa thamani na kujiamini utakuwa kijana bora sana Vinci'..! And I am telling you this everyday.!!
Just Learn to be that.!
🤝🤝Ngosha niko ile mitaa..ukihitaji ma muvi check me
Broo mbona umekata tamaa sana?
Alisika mlevi mwenye wivu na wapendanaoKama mapenzi ni upofu, mimi natambaa
When you stop those negativities automatically good things will start flowing in your life..!