Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
kwani 50,000 unaweza kupata chupi zaidi ya 5???
Duhh...vimwana wa mjini mnafaidi. Chupi za elfu 50 alafu tano tu???!!!
kwani 50,000 unaweza kupata chupi zaidi ya 5???
kweli kabisa kuna point hapaWanawake tunapenda kujaliwa,
Outing si lazima ila kauli ya mume, treatments ni muhimu sana....
Akuridhishe ktk 6 x 6, asiwe wakufoka foka, Mwanaume awe ni rafiki yako si ukimuona km unafanya kitu unatetemeka au awe hapendi utani... Mwanamke ni mtu ambaye anapenda kusifiwa...Mwanaume akufanye ujiamini kwamba wewe mwanamke ni mzuri na anakupenda....Sio yeye anakuponda ukitoka unasifiwa na wengine..
Mwanaume awe anathamini Wazazi wako. Hayo mambo ya pesa, outing yatafuata hata mwanamke unaweza mtoa outing mumeo..
Hiyo kuthamini kuchoka kwa mume pia Mwanaume anatakiwa athamini kuchoka kwa mwanamke Sio mwanamke awe punda mwanaume yeye akitoka kazini kakaa wkt nyoote mmetoka kazini...Ni kushirikiana..
Kujituma kitandani si mwanamke tuu hata wewe mwanaume...Mimi nizame chumvini wkt wewe hata siku moja hujawahi kuzama chumvini kwangu....Wewe ukojoleshwe ila mimi sijawahi kukojoa...Na hili tatizo wanalo wanawake wengi...Utakuta wengine ukiwauliza lini walikojoa hawajui wala ladha ya kukojoa hawajui...Mwanaume anapanda akifika yeye baasi mwanamke atajiju...
Soote tunahaki ya kuridhishana, cha msingi kila mmoja kujua hisia za mwenzie, kumjali mwenzie..Upendo wa kweli, na kusikilzana..na vile vile kukubali kuambiwa unapokosea ili uelimike kuhusu mapenzi..
Tukatae tukukubali mapenzi ni kama mtoto tu anayekuwa --there are constant needs to make relationships grow na usipoyahudumia basi jiandae kuyaua. Watu wanapoingia kwenye ndoa husahau kabisaaa kuwa the same baby love u once shared is still there : kina mama wanasahau yale maneno matamu na upole na kina baba husahau kabisa huduma ndogo ndogo; Kuna watu wanapitisha miaka hamna anayeinitiate outing, hamna anayemnunulia mwenzie hata kitambaa cha jasho. Mke au mume hajui hata size ya nguo ya mwenzie; Jamani hata mtoto leo huletewa pipi , next week chocolate nk.
Ego inaumiza watu sana: Lets learn to keep our love lives sparkling as Love is a decision we choose to do everyday , it doesn't happen naturally.
Chupi.za elf hamsini????
Wanawake tunapenda kujaliwa,
Outing si lazima ila kauli ya mume, treatments ni muhimu sana....
Akuridhishe ktk 6 x 6, asiwe wakufoka foka, Mwanaume awe ni rafiki yako si ukimuona km unafanya kitu unatetemeka au awe hapendi utani... Mwanamke ni mtu ambaye anapenda kusifiwa...Mwanaume akufanye ujiamini kwamba wewe mwanamke ni mzuri na anakupenda....Sio yeye anakuponda ukitoka unasifiwa na wengine..
Mwanaume awe anathamini Wazazi wako. Hayo mambo ya pesa, outing yatafuata hata mwanamke unaweza mtoa outing mumeo..
Hiyo kuthamini kuchoka kwa mume pia Mwanaume anatakiwa athamini kuchoka kwa mwanamke Sio mwanamke awe punda mwanaume yeye akitoka kazini kakaa wkt nyoote mmetoka kazini...Ni kushirikiana..
Kujituma kitandani si mwanamke tuu hata wewe mwanaume...Mimi nizame chumvini wkt wewe hata siku moja hujawahi kuzama chumvini kwangu....Wewe ukojoleshwe ila mimi sijawahi kukojoa...Na hili tatizo wanalo wanawake wengi...Utakuta wengine ukiwauliza lini walikojoa hawajui wala ladha ya kukojoa hawajui...Mwanaume anapanda akifika yeye baasi mwanamke atajiju...
Soote tunahaki ya kuridhishana, cha msingi kila mmoja kujua hisia za mwenzie, kumjali mwenzie..Upendo wa kweli, na kusikilzana..na vile vile kukubali kuambiwa unapokosea ili uelimike kuhusu mapenzi..
Mwanamke unaweza mnunulia simu ya laki nane afu jamaa akamuwekea vocha ya buku mbili na akala mzigo...!
Niliapa kutokununua simu tena walahi
Siku hizi Maisha yamekuwa ghali si Kama zamani boxer shorts tu siku hizi it's 10k Kwa moja nadhani chupi zitakuwa more than that naona Kama ni kawaida tu
Sasa nikivaa ya elf hamsini huko nan atajua hapo maybe kiatu dress pia elf hamsin sio hadh yake maybe pochi wallah. Mafikizolo heb na wewe njoo labda mie niko mlango wanyuma
Niliapa kutokununua simu tena walahi
Hahahahha kwa kweli may be pochi but not panties at all