Kwa wale walio kwenye mahusiano tu

Kwa wale walio kwenye mahusiano tu

Mapenzi hayahitaji kuwa na desa. Binadamu ni ngumu sana kujua anataka nin. Na ninachohitaji mimi ni tofauti na anachohitaji yule.

Mwanamke anaweza kukucheat kwa ajili ya dushe tu, haijalishi unampa vitu gani.

Umeona mkuu, kuna thread nyingi watu wanakuja eti mwanamke mmoja mwenye hela zake kaolewa anamtaka kimapenzi kwa sasa bwana dushe ndo kila kitu mkuu,
 
mapenzi, mahusiano na ndoa...... ni taasisi zisizo na formula...... kila mmoja ana uhutaji tofauti na mwingine,,,,mwaweza kukoop,,, but kwa wachache sana....... bora ni kufurahia maisha jinsi yalivyo........la sivyo stress haziishi.
 
Back
Top Bottom