illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Wanawake tunapenda kujaliwa,
Outing si lazima ila kauli ya mume, treatments ni muhimu sana....
Akuridhishe ktk 6 x 6, asiwe wakufoka foka, Mwanaume awe ni rafiki yako si ukimuona km unafanya kitu unatetemeka au awe hapendi utani... Mwanamke ni mtu ambaye anapenda kusifiwa...Mwanaume akufanye ujiamini kwamba wewe mwanamke ni mzuri na anakupenda....Sio yeye anakuponda ukitoka unasifiwa na wengine..
Mwanaume awe anathamini Wazazi wako. Hayo mambo ya pesa, outing yatafuata hata mwanamke unaweza mtoa outing mumeo..
Hiyo kuthamini kuchoka kwa mume pia Mwanaume anatakiwa athamini kuchoka kwa mwanamke Sio mwanamke awe punda mwanaume yeye akitoka kazini kakaa wkt nyoote mmetoka kazini...Ni kushirikiana..
Kujituma kitandani si mwanamke tuu hata wewe mwanaume...Mimi nizame chumvini wkt wewe hata siku moja hujawahi kuzama chumvini kwangu....Wewe ukojoleshwe ila mimi sijawahi kukojoa...Na hili tatizo wanalo wanawake wengi...Utakuta wengine ukiwauliza lini walikojoa hawajui wala ladha ya kukojoa hawajui...Mwanaume anapanda akifika yeye baasi mwanamke atajiju...
Soote tunahaki ya kuridhishana, cha msingi kila mmoja kujua hisia za mwenzie, kumjali mwenzie..Upendo wa kweli, na kusikilzana..na vile vile kukubali kuambiwa unapokosea ili uelimike kuhusu mapenzi..

Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana mkielewa ni vigumu watu wawili kuwa na idealogy sawa mtatofautiana tu, huo utofauti uvumilie kwa mwenzako ilihali ukielewa kuna vitu vingi na yeye anakuvumilia.
Nini mwanamke anahitaji katika mapenzi
1. Kuthaminiwa na kupendwa.
2. Umjali kwa vitu vidogo vidogo, mwanaume elewa kuwa mwanamke haitaji gharama kubwa kukutambua kama mpenzi unayemjali; Ukitoka kazini pitia hata Pochi ya 10,000/= tu, au kila baada ya mwezi nunua Chupi za 50,000/= tu ni silaha tosha kwa mkeo au mpenzio. Usisubiri mpaka vitu hivyo vidogo vidogo avifanye mwanaume mwingine.....UMEKWISHA.
3. Outing, si lazima mwende Escape one, Double Tree, hata mkitoka nyumba mkaenda uwanjani pamoja kuangalia mechi kati ya Yanga na Azam inatosha kwa mwanamke, au mtoke nyumbani mwende kuangalia movies Mlimani city au Quality center, inatosha kama utafanya walau mara moja kwa mwezi.
4. Mwambie amependeza, kwa kifupi mwanaume jifunze kumsifia mkeo/mpenzio; hata mnavyofanya sex mwambie umejisikia raha na umeridhika.
Kwa hayo hapo ni ngumu mwanamke kukusaliti/kutoka nje ya ndoa hata siku moja.
Nini mwanaume anahitaji kufanyiwa:
1. Kubembelezwa kama mtoto, ashikwe shikwe ndefu, afanyiwe massage. si lazima kila siku, ila angalau mara moja kwa week.
2. Mwanamke thamini kazi anazofanya mumeo, tambua akili yake huwa inachoka kufikiria famili na majumu ya kazini; akifika nyumbani mkarimu vizuri.
3. Ukiwa kitandani jitume, onyesha una-enjoy, la msingi msaidie katika kukurahisishia wewe mwanamke kufika kileleni.
4. Kuwa msafi wewe mwanamke, msafi ndani mpaka nje! kama inawezekana oga hata mara nne kwa siku; Hakikisha mwanamume wako hakutani na harufu yoyote ile.
Kwa kufanya hayo hautamsikia mwanamume anatoka nje na kukusaliti.
Asanteni wandugu