IzukeneJr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 758
- 753
Wakuu heshima zenu.
Tafadhal kama kuna yeyote mwenye setup ya hili game MOTORACER LA 1997 baadh ya picha zake nimeziweka kwenye attachment hapa, last tym lilikua liko free online lakini naona sasa ivi linauzwa. Na kama una game la racing ambalo unadhani ni kali zaid hebu tuambie tulitafte, ndo pombe yangu hiyo, i like racing.