Kwa wale wachepukaji tu



Kama kila mtu akichepuka kwa lengo la kutoa msaada zaidi ya nusu ya wanaume ulimwenguni watakuwa wachepukaji. Hii imekaa kihuruma zaidi. Ya pili ilikuwaje Samboko?
 
Kama kila mtu akichepuka kwa lengo la kutoa msaada zaidi ya nusu ya wanaume ulimwenguni watakuwa wachepukaji. Hii imekaa kihuruma zaidi. Ya pili ilikuwaje Samboko?

Iko hapo juu mkuu hujaangalia vizuri.
 
Hii kitu ndio imenisababishia kuchepuka.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 

Nimechekaaaaaaa yaani we samboko hujatulia kabisa unahitaji kupepewa...
 
Nina uhakika hujakisoma hata DIBAJI yake unatumia uzoefu katika kuchepuka na unaona diiiili...... lol

Njia kuu daraja limesombwa na mafuriko na huko niendako natakiwe nifike maana kuna dharura.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
+ michepuko.
 

Samboko hivi una undugu na Jacob Zuma....?Nimesoma michepuko yako yote mara mbili na haikuwa na mpangilio ni kama magoli ya kushtukiza dakika za lala salama....haina maandalizi kabisa...ss vp umewahi kupima au ndo km Jacob wa Zuma unawahi kuoga fasta!
 
Kwa ss wanaume kuchepuka ndo kunatuongezea ufundi, na kumthamini zaidi mkeo kama umeoa.
 

Maandalizi yalikuwepo mkuu na hasa ukizingatia wenyewe walishajiandaa kiakili kabla yangu kitu ambacho ni muhim zaidi kabla kufanya mapenz na hufanya mchezo kua rahisi na ndivyo ilivyokua kwangu.
Mimi sio muumini wa condom mkuu najilipuaga tuu km alshabaab.
 

Dah......Kamanada AL-shabaab.....salute!
 
Kwani si kila mtu asikia utamu wake? Ilitakiwa iwe freelance !,,,,,,,,
 
Nadhani wote waliopitia kwenye uzi huu wanachepuka au washawahi kuchepuka, hii inajumuisha hadi wale waliopita kusoma komenti tuu,,hahah
 

kumbukumbu imehifadhiwa.
 
mimi nilichepuka coz mchumba wangu simpati wakati napomhitaji, anaibuka gheto mara moja kwa mwezi tu. ukimuita anasema yupo bize mpaka mpangiane ratiba week kabla. nikatafta kipozeo siku mojamoja nakula mzigo.

naona watu wanasema sababu za kuchepuka in general, sema inayokuhusu wewe sio bla bla tu.
 
Namsubiri Hon NAssari ndio ntaaendelea
 

Asante kwa kufunguka mkuu maana wengine wanajifanya hawachepuki kumbe wachepukaji wakubwa maana hata mada wamechepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…