Kwa wale wachepukaji tu


Nimechekaaaaaaa asprin nakupenda bureee
 
Last edited by a moderator:
Wakuu ina maana humu hamna wachepukaji? Maana naona mnatoa sababu za kuchepuka, ni sawa lkn mm mtoa mada nililenga zaidi wale wanaocheat au waliowah kucheat watoe sababu zao binafsi kwann walicheat.

Hayo malalamiko ndo sababu ya kuchepuka I guess.......
 

Aaaah kumbe huwa mnajua madhala yake! Mnakuwa bize kutafuta 20% mnaacha 80% cku ukistuka unakuta umezipoteza % nyingi kwa kung'ang'ana na 20%
 
So good.....
 
Ubinafsi, ujinga na ufala hakuna jipya. Kwa ufupi hakuna sababu yoyote ya kuchepuka kwa wanandoa wanaoelewa maana ya kwanini wapo kwenye ndoa. Ntarudi baadaye...
Tusijaribu kutoa ushauri wakati sisi hatuna uzoefu. Walio katika ndoa ndiyo wanaoweza kutusaidia kujibu hili. Ndoa nzuri inapaswa kuongelewa na aliye na ndoa nzuri, ndoa mbaya inafaa kuongelewa na wanandoa walio katika ndoa kimeo. Michepuko wakati mwingine inasaidia kuondokana na divorces zisizo na tija ambazo kwazo zinaweza kuathiri viumbe mliowaleta hapa duniani kwa raha zenu. Kwa anayechepuka ukimsikiliza ni tatizo la 6X6 ukikumbuka kuwa kila siku si jumatatu katika maisha ya mwanadamu.
 
Wachepukaji wanafuata kubembelezwa na shughuli pevu ya 6*6
 

kumbe kuchepuka hakuathiri viumbe mlivyoleta duniani, we ril difa
 
hahahaaa ni nggumu sana kusma jpo kikubwa ni tamaa tu ndo tatzo kubwa hasa
 
Mkuu Asprin hujatupa sababu mojawapo ya kwann unachepuka, ndio hoja iliyoko mezani.

Mkuu hakuna sababu kuchepuka zaidi ya kutafuta ladha tofauti. Ni kama vile mchele mara nyingi hupikwa wali. İkipikwa pilau, au biriani ni utafutaji wa ladha nyingine tu. Mwisho wa siku wali ndo chakula kikuu cha kutumia mchele. Hebu fanya wali ndo awe mke, na pilau, biriani na vitumbua iwe michepuko... umenielewa???
 
kumbe kuchepuka hakuathiri viumbe mlivyoleta duniani, we ril difa
Madhara ya michepuko na talaka huwezi yalinganisha. Jiulize ni kwa nini mwana mama unaolewa? ni ili upate kitu roho inapenda. Kama huwezi kukipata itakuwaje? Tuache unafiki. Lakini kama nilivyosema kila siku si jumatatu mwanzo wa wiki kuna mwisho wa wiki. Mfano inawezekana mwenzi akawa impotent aidha kwa magonjwa au kiajali, je kama nyie wakristo (mimi mwislamu na talaka inakubaliwa) mwanamama afanyaje? Najua wapungufu wa fikra watadai KUVUMILIA. Katika hali hii ili kuzuia kuchepuka itakubidi mwanamama uombe talaka na ukipata talaka viumbe vitaathirika ile mbaya. Lakini akili mukichwa mchepuko hauwezi kuleta madhara kama ya talaka. Familia nyingi zimelea watoto hadi kuwa watu wazima kwa ile kitu kuchapiwa ni SIRI ya ndani.
 
kila mtu akiplay pat yake y uchepuke
Mpenzi usisahau ubinadamu. Kuna tatizo la kukosa hamu ambalo huwakumba wanandoa wa upande mmoja na second puberty kwa upande wa pili. Hili likitokea, hasa katika miaka ya kukoma kutumia, mchepuko wenye staha ni njia mwafaka ya kuondokana na kusamabaratisha familia hasa mateso kwa viumbe mnavyovileta duniani kwa raha zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…