Kwa wale wachepukaji tu

Meseji sent.
 
Sme are just insecure with their fianc€z
 
huko ndo kutongoza kwenye dunia hii. umesahau kujichekesha meno yote 30nanje mbili bila 7bu za msingi
 
"Kila mwanamke ana 'kilio'(sauti wakati wa majamboz) chake"
 
Ubinafsi, ujinga na ufala hakuna jipya. Kwa ufupi hakuna sababu yoyote ya kuchepuka kwa wanandoa wanaoelewa maana ya kwanini wapo kwenye ndoa. Ntarudi baadaye...
 
Huwa tunatafuta HIV kwa nguv zote. Unazani tunaakil bas ndugu? Wachepuka hatuna la zaid ni kujitoa muhanga tuu ndugu tuone kama tutapata HIV

Umenena mkuu, yaani huwa nakereka sana kuona jamaa yangu aliyeoa akichepuka. Ndo hivo tena kwa wakati huo anajiona mjanja kumbe ni ukibhose tu aah...
 
Ubinafsi, ujinga na ufala hakuna jipya. Kwa ufupi hakuna sababu yoyote ya kuchepuka kwa wanandoa wanaoelewa maana ya kwanini wapo kwenye ndoa. Ntarudi baadaye...

Sababu zipo mkuu ndio mana watu wanachepuka, kutoridhika, ukorofi wa mmoja wao, wivu uliopindukia, tamaa, pesa, ugomvi, ulevi, uaminifu nk.
Hizo zote ni sababu zinazoweza kufanya wapenz wakasalitiana.
 
Mmmh, wife akinasa ID ya JF patakuwa hapatoshi. By the way nadhani moja kati ya sababu ni misunderstanding. Mara nyingi kama kuna kutoelewana na kuwa na stress za mapenzi, kununiana n.k, wazo la karibu kabisa ni kutafuta faraja somewhere else...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Huwa tunatafuta HIV kwa nguv zote. Unazani tunaakil bas ndugu? Wachepuka hatuna la zaid ni kujitoa muhanga tuu ndugu tuone kama tutapata HIV

Halafu ukipata hiv unakimbilia kikombe cha jero kwa babu semunge!
 
Well said mkuu bt ume base sana kwa wanawake ningetamani kuonja upande wa wanaume pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…