Charles Ignatio
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 133
- 52
una njaa kwanza kapate msosiIkusaidie nini? unataka kuwapa fees au? Hoja mbovu hii.
kumbuka kuna watu wameshindwa wafanyeje mi nina dogo rasi wangu kapata udom Bachelor of science in computer lakini hajapata mkopo sasa nataka kabla hajaenda chuo nijue wenzake ambao hawakupata wana msimamo gani? watakuwa na solidarity au watakausha kila mtu hamsini zake!hebu acha kuwahadaa watu na kuwapotezea muda..................we ndo utawasaidia nni?
sio fujo watu wanastaili haki zaoHatutaki fujo zenu kule tumechokaa