Kwa wale wa udom

Charles Ignatio

Senior Member
Oct 9, 2010
133
52
wale wote mliocaguliwa udom kitengo cha science na hamkupata mikopo leteni mawazo yenu hapa mtueleze sisi wanajamii kwamba mna mpango gani juu ya elimu yenu mtaendelea kubaki nyumbani au harakati zinaendelea mpaka kieleweke?
JE KWA WALE MASIKINI AMBAO HAWANA KITU KABISA REGISTRATION ITAKUWAJE?
NIPE MICHANGO YENU WADAU
 
hebu acha kuwahadaa watu na kuwapotezea muda..................we ndo utawasaidia nni?
 
Na ni kwanini useme wale wa udom na sio wote kwa ujumla,kwanza wakupe mawazo yao uyapeleke wapi ww kama nani?
 
Huyo jamaa atakua ni usalama wa taifa,kaja ku2teka akili humu..tumpuuzie 2.
 
pengine anayo mihela ya dowans mtajuaje nendeni akawape mihela jamani
 
hebu acha kuwahadaa watu na kuwapotezea muda..................we ndo utawasaidia nni?
kumbuka kuna watu wameshindwa wafanyeje mi nina dogo rasi wangu kapata udom Bachelor of science in computer lakini hajapata mkopo sasa nataka kabla hajaenda chuo nijue wenzake ambao hawakupata wana msimamo gani? watakuwa na solidarity au watakausha kila mtu hamsini zake!
dont think me negatively
 
Wanafunzi wengi wa udom hawana akili timamu. Amemiss migomo huyo.
 
Hivi kwali jamani hawa wa second round selection issue ya mkopo imekaaje? Maana naona wote hawajaonyeshewa kama wana mkopo na wote wako kimya si heslb, si tcu. What is going on hapa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom