Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
Wakuu ninatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu na ninapendelea kusoma katika chuo hiki kampasi ya mwanza kwa koz ya BBA lakin nilikuwa nataka nijie kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa katika chuo hiki pia idadi ya masomo kwa semister moja ili niweze kufanya chaguo sahihi.
Naombeni kwa wanaojua wanifahamishe wakuu!!!
Naombeni kwa wanaojua wanifahamishe wakuu!!!