ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,763
- 45,319
Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-
1. Tabata Magengeni
2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga
3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via Jeshini Road
4. Kariakoo(hii angalau kila mtu)
5. Mbezi Makonde
6. Kivule
Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi
Je, wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?