Kwa wale wa 'kitchen party gala'...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Enyi wanawake mliobahatika kuhudhuria hapo Diamond, Mwanamke mwenzenu huyu, ameshindwa kuwa nanyi katika hiyo kitu mnaiita " KITCHEN PARTY GALA'. Yeye yupo Matombo Morogoro, alisikia kwenye matangazo tu kuhusu hiyo kitu, alivutiwa na alipenda kujua huwa mnafundishwaga nini huko kwenye "Gala" lakini ameshindwa kuwa nanyi.

Nauli kutoka alipo kwenda na kurudi ni zaidi ya kiingilio na kwa muda wakumaliza mafundishio hayo (Saa Nne Usiku) ingemlazimu achukue gesti , ila amesikia
ticket zilikuwa zinauzwa shear illusion mlimani city; 8020fashions sinza Mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine MwengeTra,Jackz cosmetics kinondoni na bei ya Ticket ni tsh 30,000 .

Katika hilo alisikia pia kuna wengine ambao wanaruhusiwa kununua meza. Ameona hii inawahusu zaidi wanawake wenye nazo, waishio Dar Es salama tu, wasomi na ambao pengine ndoa zao zinahitaji msasa.

Labda kwa wenzako mlioenda mwaweza kusaidia kumpa yale yaliyojili huko,wanauwafunda kwenye nini??

ngoshwe, kwani si ni ya wamama alone?
Unataka silaha za kivita ziwekwe wazi? Muambie next tyme akija umuombee accomodation kwa maxence. Mie ntampa kiingilio na wewe gharamia nauli. Wivu wangu hauruhusu kumuaccomodate.
 
Last edited by a moderator:

amenilalamikia shemeji yako..anasema wanawake wanatengana, kwenye mazuri wanakula wasomi na wale walio mojini tu, yakiwabana wanasema wanatetea wanawake wote Tanzania lakini cha ajabu hata wale wanaoishi nayo majumbani kama "ma Hausi geli" hawawashirikishi.
 
nasikia walitoka saa 6 usiku, nawasikia wadada hapa job waliokwenda wanasimulia, kuliwekwa mpaka godoro la watu kujifunzia kufyonza!!! kungwi alitoka kenyaaaaaa, kazi ipo, na ndio kwanzaaaa watu wanaachika kila kukicha! haya mliokwenda tiririkeni basi!
 
rafiki kwa nini na wewe hukuhudhuria? huhitaji msasa weye?
angalia kwa makini, makungwi weeengiiii walishaachika tena wengine mara kadhaa..................... akili kichwani
 
mama lwakatare huwa ana siku ya wanandoa kanisani kwake! lakini na ye kaachika siku nyingiiiiiiiiiiii, wangemuitia aunt sadaka ainusuru ndoa yake. kazi ipo, mi hata hizo kitchen party za kawaida si kwamba huwa nakwenda kuchukua maujuzi, la hasha, huwa nakwenda maana unakuta ni rafiki wa karibu au ndugu, na mara nyingi nakuwaga na uji wa kungu mapemaaaaaaaa kwenye thermos yangu, sitaki ugomvi na mtu! mautundu mtu huwa nayo, sidhani kama mtu hufunzwa yale makitu, tena ukiwa mbunifu mwenyewe ndio kabisaaaaaaa! FP mzima weye?
 
Mie mzima my dear friend cacico
umesema kweli kabisaaaaaa, UTUNDU HAUFUNDISHIKI, tena hadharani! lol
 
Last edited by a moderator:
Enyi wanawake mliobahatika kuhudhuria hapo Diamond, Mwanamke mwenzenu huyu, ameshindwa kuwa nanyi katika hiyo kitu mnaiita " KITCHEN PARTY GALA'. Yeye yupo Matombo Morogoro, alisikia kwenye matangazo tu kuhusu hiyo kitu, alivutiwa na alipenda kujua huwa mnafundishwaga nini huko kwenye "Gala" lakini ameshindwa kuwa nanyi.

Nauli kutoka alipo kwenda na kurudi ni zaidi ya kiingilio na kwa muda wakumaliza mafundishio hayo (Saa Nne Usiku) ingemlazimu achukue gesti , ila amesikia
ticket zilikuwa zinauzwa shear illusion mlimani city; 8020fashions sinza Mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine MwengeTra,Jackz cosmetics kinondoni na bei ya Ticket ni tsh 30,000 .

Katika hilo alisikia pia kuna wengine ambao wanaruhusiwa kununua meza. Ameona hii inawahusu zaidi wanawake wenye nazo, waishio Dar Es salama tu, wasomi na ambao pengine ndoa zao zinahitaji msasa.

Labda kwa wenzako mlioenda mwaweza kusaidia kumpa yale yaliyojili huko,wanauwafunda kwenye nini??

hizo ni biashara tu jamani hakuna cha nini wla nini wemelundikana magubegube walioshindikana ,kungwi mwenyewe ndoa imemshinda atamfundisha nini mwenzie,ni biashara tu hakuna impact ya hiyo kitu kwe ndoa
 
Kitche Party gani hadi mtoto wa miaka 18 anaruhusiwa, mradi jinsia ya kike WIZI MTUPU........

Ni njia mojawapo ya kutulamba hela

Heri yake aliyoko Matombo anajilia Magimbi yake kwa raha zake

Mwambie hamna jipya yote ya zamani

WAJINGA NDIO WALIWAO
 
Mmmh!mlivyoiponda.nakumbuka niliwahi kuhudhuria semina moja ya vijana padri akatuambia huwezi kumfundisha mtu jinsi ya kufanya ngono kwani hiyo kitu ni nature so wanaofanya hivyo ni wapuuzi.lakin smtimes unakuwa curious kujua whats going on na si vibaya kusafisha macho.
 
Story za kila siku mjini hizo mamii. Ndoa haina copy and paste. Kuna mwanaume bila kumvutia bhange mambo hayaendi. Ilimradi muelewane, anajua wife ni mwehu nikimchezea hapa ataniadhiri.
Ulishawaza kiingilio na budget?
400 pplex 30,000 wanadaka 12,000,000 ukifanya catering na budget ya kitchen party hapo milioni 4 inatosha. Mgao wa 8 m chezeiya?
Haata....!!!!!
Mie sitafuti msasa wa ndoa yangu..........ila nilitamani tu kuwasikiliza hao wanasaikolojia .
Nilivutiwa na zile highlights za aunty Sadaka!
 
Lol, kuna group fb la wadada, siku wakamuhoji kungwi kumbe she is 23, aliolewa na 19 yrs of age. Niliacha hata kucomment! Kha!

Back
Top Bottom