Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Jan 26, 2016 #21 hyo midish ya bati imenkumbusha mbaliii
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Jan 26, 2016 #22 Harage ka LA Musoma Tech, enzi hizoo za 80 ^^
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jan 26, 2016 #23 Nakumbuka enzi hizo...nlikuwa table leader.... nlikuwa najipa privilege hasa kwenye wali maharage au ugali na nyama..... UJI ilikuwa sio kesi saana..
Nakumbuka enzi hizo...nlikuwa table leader.... nlikuwa najipa privilege hasa kwenye wali maharage au ugali na nyama..... UJI ilikuwa sio kesi saana..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Jan 26, 2016 Thread starter #24 Himidini said: Harage ka LA Musoma Tech, enzi hizoo za 80 ^^ Click to expand... Wengine ukiwasimulia wanadhani ni story za kusadikika
Himidini said: Harage ka LA Musoma Tech, enzi hizoo za 80 ^^ Click to expand... Wengine ukiwasimulia wanadhani ni story za kusadikika
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,799 Jan 26, 2016 #25 Itakua tabora boys hiyo...
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Jan 27, 2016 #26 mshana jr said: Wengine ukiwasimulia wanadhani ni story za kusadikika Click to expand... Mbona hao wengi sana!! Watu wamezaliwa umeme unawaka, utawambia habari ya koroboi za makopo ya kahawa wakuelewe wapi ^^
mshana jr said: Wengine ukiwasimulia wanadhani ni story za kusadikika Click to expand... Mbona hao wengi sana!! Watu wamezaliwa umeme unawaka, utawambia habari ya koroboi za makopo ya kahawa wakuelewe wapi ^^
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Jan 27, 2016 Thread starter #27 Himidini said: Mbona hao wengi sana!! Watu wamezaliwa umeme unawaka, utawambia habari ya koroboi za makopo ya kahawa wakuelewe wapi ^^ Click to expand... Lakini kweli ujue
Himidini said: Mbona hao wengi sana!! Watu wamezaliwa umeme unawaka, utawambia habari ya koroboi za makopo ya kahawa wakuelewe wapi ^^ Click to expand... Lakini kweli ujue
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,221 Reaction score 1,679 Jan 27, 2016 #28 Dah, madishi jamani
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 27, 2016 #29 Enzi hizooo nikiwa Pugu Sec....!