Kwa wale wa boarding schools

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,440
1453519688676.jpg
 
Daah umenikumbusha mbali sanaa mazengo high school dodoma hiyoo maharage tunawekewa mafuta ya taa hili. ...... ( )
 
nakumbuka bagamoyo sec 1996 kuna unapewa zamu week nzima kugawa msosi na kuosha dish na meze ...nililala bweni umoja win "c"
 
hapo unaweka vitunguu vyako vya kukaangwa na dagaa ulivyotoka navyo nyumbani, yanakuwaje matamu
 
Back
Top Bottom