karibu na sehemu ya kufanyia interviewZipo nyingi tu.. unataka maeneo gani??
karibu na sehemu ya kufanyia interviewZipo nyingi tu.. unataka maeneo gani??
Zipo za kutosha tukaribu na sehemu ya kufanyia interview
yaani ukamatwe polisi ukatukane kanisani kweli mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3]Acha aseme tu kile moyo inapenda inaweza ikawa Suluhu la kupoza maumivu... Obviously inaumiza kama umeshindwa kuitwa kwa sababu zisizo eleweka
Wa Tanzania tunatabia ya kujifanya wajuaji kinachotuponza hata mdogo wangu kakosa kuitwa sababu hyo umeambiwa vyeti lazima u verify ww unaweka vyeti original kwa kudhani umekwepa kigezo cha kuverify hv kwenye e-mail unaweza kufahamu cheti fake kwa kuangalia picha?zile alama za mng'ao zote hazing'ai km cheti kinapicha iliyojificha kwenye picha hutoiona hila uki verify wanajirizisha kuwa lawyer uliyempelekea amakagua hvyo vyeti.Acha aseme tu kile moyo inapenda inaweza ikawa Suluhu la kupoza maumivu... Obviously inaumiza kama umeshindwa kuitwa kwa sababu zisizo eleweka
mkuu ushafika idodomya!?Tax management officer tujuane
Umecertify copy za vyeti ndo uka upload? Huwa unaisaini barua kabla ya kuomba kazi?Kila nikiapply kazi naambiwa sijakualify anaeweza kunisaidia please
Umecertify copy za vyeti ndo uka upload? Huwa unaisaini barua kabla ya kuomba kazi?
Nishafika mkuumkuu ushafika idodomya!?
Mkeka umetoka mbona. Sema walichelewa kuweka tu kwa page yaoHabari za mchana wapendwa, kwa wale tuliiomba kazi TRA. Kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea, unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application".
Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi, au kuwa shortlisted for the interview, vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
Basi nenda kacertify kisha upload kwenye acc yakoSijacertfy copy
Hivi ni lazima uhakiki kwa mwanasheria? Au hata mahakamani ni sawa tu?
Uliza uambiwe na wenzako hukoMbn mnajidanganya jmn hakuna mambo ya kucertify kwa waliosoma bongo ukiona imekuandikia hvyo haujausoma nje ya nchi jua n makosa ya system wapigie ajira portal wenyewe kwa maelezo zaidi
Uliza uambiwe na wenzako huko
Wamekubeba tu mkuuMbn mnajidanganya jmn hakuna mambo ya kucertify kwa waliosoma bongo ukiona imekuandikia hvyo haujausoma nje ya nchi jua n makosa ya system wapigie ajira portal wenyewe kwa maelezo zaidi
Sio kubebwa, watu wanaoachwa kwa7bu hyo nadhan ni bahati mbaya tu.. Ila nimewakna wengi wameenda Usaili ya TRA hii wakiwa wameweka vyeti vyao kutoka chuo OGWamekubeba tu mkuu
Safi sana, tna cheti OG kikiwa na rangi na muonekano Co black and whiteSio kubebwa, watu wanaoachwa kwa7bu hyo nadhan ni bahati mbaya tu.. Ila nimewakna wengi wameenda Usaili ya TRA hii wakiwa wameweka vyeti vyao kutoka chuo OG