Kwa wale tulioomba kazi TRA

Kwa wale tulioomba kazi TRA

Safi sana, tna cheti OG kikiwa na rangi na muonekano Co black and white
Boss, hiyo bahati labda, au inategemea mtu na mtu, kuna watu niliwasaidia kufungua na vyeti tukaweka vile OG, scanned na mashine kabisa sio kwa kutumia simu. Interview za mwanzo ilikuwa inakubal fresh ila kufikia mwez wa 12 mwaka jana kwenye job ya osha mambo ndo yakabadilika
Screenshot_20220305-185613~2.jpg
 
Habari za mchana wapendwa, kwa wale tuliiomba kazi TRA. Kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea, unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application".

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi, au kuwa shortlisted for the interview, vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????

Pole na hongera mkuu. Ila tu najua ni uzi tu wa bora kujifariji, wahanga ni wengi usiwe na wasiwasi huu mkeka umekata hadi watu walio internship TRA na wanaojitelea TRA na hata wenye kuwa certified vyeti vyao na magistrate court, na hakimu wa mahakama kuu whatever na wengine vyeti vyao hdi vimekuwa certified na mahakimu slash wanasheria wa balozi husika wamekatwa wamechinjwa. Vumilia
 
Tafuteni connection vijana hizo ajira siyo simple kama mnavyofikiria ...baba kantuma kama wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mnasena watoto wote wa wakubwa ndio wamepata hizo kazi, hao maboss huko TRA wataweza kweli hata kuwakoromea hao the so called watoto wa wakubwa pindi wakiharibu kazi?
 
Back
Top Bottom