Kwa wale tulioomba kazi TRA

Kwa wale tulioomba kazi TRA

monnie tonny

Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
8
Reaction score
10
Habari za mchana wapendwa, kwa wale tuliiomba kazi TRA. Kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea, unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application".

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi, au kuwa shortlisted for the interview, vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
 
Habari za mchana wapendwa,kwa wale tuliiomba kazi tra,kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea,unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application"

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi,au kuwa shortlisted for the interview,vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
Walishaajiri watu kitamboo sana wamekaa maofisini wanakula batala 😎😎😎
 
Habari za mchana wapendwa,kwa wale tuliiomba kazi tra,kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea,unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application"

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi,au kuwa shortlisted for the interview,vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
Wewe umeambiwa ni sababu gani iliyokufanya utoswe?
 
Habari za mchana wapendwa,kwa wale tuliiomba kazi tra,kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea,unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application"

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi,au kuwa shortlisted for the interview,vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
Jirani yangu mwanae kaitwa dodoma tarehe 7
 
Vijana pambaneni. Kuna mtu anasema amekosa kwa sababu vyeti haviko certify.
I see this being very illogical. Yaani wanataka kopi ya certification while they know kwenye interview wataomba original.
Bahati mbaya taasisi za umma hazitegemei certification ya advocates.
Poor reasoning at its best.
 
Washenzi tu bhna, naamini mtu akiitwa kule lazima akaguliwe vyeti.. So waache ubeberu usiokuwa na maana
 
Hii ipigiwe kelele kote. Vyeti ukipata kazi vinapelekwa Necta, nacte na vyuo ulivyosoma. Ingekuwa una certify na ku submit original ya certification, then, that's fine
 
Back
Top Bottom