chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,205
- 304
nimekuja wangu wangu nikijua ni yale mambo yetu kumbe mambo msoc
nyie mnashangaa hiyo nyama
mwenzenu nililishwa flog na wachina chezea wachina weyeee
Si Dar tu Mkuu, hizi nyama za kuuzwa barabarani popote pale, kwa kweli ndo vile, hata kuku vibudu tunakula pia.hii hata dar ipo
Si Dar tu Mkuu, hizi nyama za kuuzwa barabarani popote pale, kwa kweli ndo vile, hata kuku vibudu tunakula pia.
Ukweli hata mimi nilidhani kuwa mambo ya Mombasa ni yale mambo yetu kumbe ni mengine kabisa. Ama kweli Mombasa kuna vituko sanadah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....