Kwa wale mnaopenda 'Mambo ya Mombasa', tahadhari sana!

Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!

Msiseme sikuwahabarisha.


8032221238_ddda6d5ed5_b.jpg

Na supu yake balaa.
 
Preta kama uko hai basi tusalimie dear, muda umepita looh
Nipo salama kabisa……..nilifariki kidogo lakini nashukuru nimefufuka tena ……🤣🤣
Heri ya Mwaka Mpya 2023……..
 
Nipo salama kabisa……..nilifariki kidogo lakini nashukuru nimefufuka tena ……🤣🤣
Heri ya Mwaka Mpya 2023……..
Mungu mwema, maana nyie ndo tuliwakuta jf miaka hiyo ya kale kabisa. Mshukuru Mungu ungali unadunda. Mie nipo nashukuru, maadamu naweza lipia pango la nyumba, mengine urembo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom