Raha kwako ni kufanya nini?Bi mdada hebu nielekeze mm nipo Hadi kesho saa3 usiku ndo tutaondoka huku
Nimemiss foro ya tanga sijapita simu mingi hapo,mambo ya malumbuzi,mapochopocho ya kumwaga,na yale maharage ya kufungiwa kweye gazeti.Story hizo ila ukiishi kama week ndio utamuamini bwana misosi alikuwa mkweli
Ila kama mtumiaji wa ulevi wa kike jioni nenda katege maeneo ya forozani hapo
Story hizo ila ukiishi kama week ndio utamuamini bwana misosi alikuwa mkweli
Ila kama mtumiaji wa ulevi wa kike jioni nenda katege maeneo ya forozani hapo
Mkuu si uingie Mombasa hapo ukamalizie hasira zako.Mkuu ninavokaandika text hii now Niko forodhani hapa watoto wapo wa kawaida na mazingira ya kawaida sana, na hapa wenyeji wananionesha baa Moja iko pembeni wanasema inaitwa chichi wanasena kunakuwa na club usiku lakini Ni pabovu balaa yaani pachafu balaa, Kuna sehemu nilieekezw tanga pazuri na hapo ndo tumekula chakula Cha mchana ni Kama mgahawa flani Ule utamu wa tanga ninaosikia watu wakiuhubiri sijaupata bado huu wa "TANGA RAHA"
Tanga ndiyo mji wangu, usidhani huku hao mabinti wanaosifiwa ni wa kujitega hovyo kama Kimboka. Hili jiji lina taratibu zake, wewe endelea kuranda tu huko forodhani kama jini la baharini.Ni mtazamo wako, karibu na wewe uwafate
Mzee wa Kanda maalum " mambosasa" hebu Be calm kwanza, mbna umekuja kiukali Sana mkuu? Kuna tatzo?.Tanga ndiyo mji wangu, usidhani huku hao mabinti wanaosifiwa ni wa kujitega hovyo kama Kimboka. Hili jiji lina taratibu zake, wewe endelea kuranda tu huko forodhani kama jini la baharini.
Ushasema ulienda kutazama malaya ukijua wazuri wenye sifa hizo, hapo ndiyo nimekujua kilichokuleta ni kufanya ufuska
Nakupm mkuuMkuu Mji wa Tanga sio kama Arusha kuwa Warembo wamezagaa mjini, Tanga pako tofauti kidogo kuna vinu na visu hatari ila vipo ndani na Majuba yao meusi wamejifungia mfano apo usagara kwenye izo nyumba kama koto na zipo totoz kibao za kiarabu, Shida ni kuwa hawazururi na wala usitegemee kuwakuta bar sijui disco huko utakuta wachovu tu , Tanga pata mtu tena wamama wa makamo wale micharuko muweke kwenye gari mpeleke sehemu ya ukweli muambie aagize chochote mueleze unataka watoto Grade One, mpe namba za simu mkodishie tax na muachie Vumba kidogo, Mzee utaletewa totoz hujawahi ona