Kwa wale manguli watafuta utajiri

Kwa wale manguli watafuta utajiri

Uhakika lazima nikeshe
Baadae muite. Mimi nitakuwa macho kukusaidia. Mida yetu ya Wanga.

Ili akija usimsahau, huyu hapa chini
images (1).jpeg
images.jpeg
 
Za saa hizi.

Ninachojua Azazel alikuwa malaika ambaye alileta teknolojia kwa binadamu. Sasa kuna watu tena zaidi ya mmoja wamewahi kukiri kuonana naye live kwa kufanya mambo kadhaa na kufuata masharti then wakaomba awape utajiri!

Ni hatua zipi za kuonana na Lucifer au Azazel?! Na je, ni mganga ndiye connector au mganga hana ulazima?

Msijaribu kienyeji jamani!

Mjuzi Mshana Jr karibu kwenye vitu vyako hivi.

Na wish kumuita Azazel leo usiku nihojiane naye uso kwa uso, na kwa hoja!
Ni rahisi kumwita huyo.....ila bwana ni jambo hatari sana nakushauri usifanye kabisa kwani waweza kufa au kuteseka maisha yako yote. Kumbuka kufungua mlango wa mapepo ni rahisi ila kuufunga ni vigumu sana na utahangaika muda mrefu. Kuna hata website ukifungua tu na kuangalia kilichomo mara moja unaingiliwa na muziki wake ni hatari! Imewahi kunitokea mimi, nilifungua website moja nikasikia tu muziki wa kuzimu sikuweza kusikiliza kwa sekunde zaidi ya 4 nilifunga haraka na kuanza kujisikia vibaya mno. Tayari roho chafu ziliakuwa zimeanza kuniingia kwa sekunde zile 4 tu. Ilinichukua muda kujisafisha bahati nzuri nilikuwa najua maarifa ya kufukuza hao jamaa ila kwa siku 2 hivi sikulala vizuri. Usijaribu!
 
Nikishapata utulivu nitarejea
 
Nitajie hiyo website please. Ukiona soo ni check pm
 
Pesa ni tamu; ila kuipata kwa masharti inakuwa sio tamu, bali ni chungu; ndio maana matajiri wana roho ngumu
 
Za saa hizi.

Ninachojua Azazel alikuwa malaika ambaye alileta teknolojia kwa binadamu. Sasa kuna watu tena zaidi ya mmoja wamewahi kukiri kuonana naye live kwa kufanya mambo kadhaa na kufuata masharti then wakaomba awape utajiri!

Ni hatua zipi za kuonana na Lucifer au Azazel?! Na je, ni mganga ndiye connector au mganga hana ulazima?

Msijaribu kienyeji jamani!

Mjuzi Mshana Jr karibu kwenye vitu vyako hivi.

Na wish kumuita Azazel leo usiku nihojiane naye uso kwa uso, na kwa hoja!
Kwenye hizi ishu za utajiri ni ngumu mno mtu kukwambia katokaje.. Watu huwa hawasemi ukweli bali hudanganya na kupotosha! Siri za kupata utajiri ni nyingi na hazina formula maalum... Na mara nyingi mtu kapata kupitia siri A lakini yeye anakuambia kapata kupitia siri D
Haya ya Azarel ni mageni kwangu lakini yako huko kwenye mlolongo wa
Pesa za majini
Pesa za mashetani
Pesa za Freemason
Pesa za kichawi nknk
Utajiri wowote kupitia hizo njia hauna faida wala furaha wala uhuru kwakuwa umejaa masharti na miongozo ya kificho hasa kwenye
Mahitaji muhimu ya maisha (chakula, maji na malazi)
Rangi
Mahusiano
Mienendo ya kawaida
Mavazi nknk

Mwanzoni utayamudu kwelikweli lakini kadiri siku zinavyokwenda utachoka, utajisahau, utadharau ama utashindwa na hapo ndipo anguko kuu hutokea
 
Umetunza uaminifu, hatimaye umerejea kama ulivyoahidi. Ahsante sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom