Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,919
- 225,887
Hayo mapinduzi na pombe sijui Ni mapinduzi ya wapiWacha vibakie sitaki niende nianze kukumbuka niangalie picha yake ukutani na mazingira Yale niwaone wale watu sio healthy kabisa kwa afya ya ubongo ..I run away from my past
Naamini huku nilipo nitafanya mapinduzi nikiwa na pombe by my side na ni safe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app