Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

Nafikir ujitahid utafute uwe nae, ili ikupe urahic pale utakapohitaji kua na familia, ili iwe rahic kwako kuendana na mkeo, atleast utajua changamoto za kuzikabili kwa baadae, coz mabint wengi hupenda mwanaume anarkua charming kidgo (nimetumia experience tu) maana mimi sio introvert ila nina rafiki yangu yuko hivyo, nilisoma nae sekondari huko mbeya, ni mm tu niliweza kuendana nae wengine wote walishindwa kumwelewa. Mpaka sasa ni rafiki yangu sana, ila inaweza kupita hata wiki mbili hatujatafutana, ila tukitafutana ni story kdgo tu. Ila atleast abajitahid kunitafuta.
Kimahusuano, of course jamaa alikua very shy yaan ana aibu kupitiliza, ila alinieleza kua kunabint anampenda ila he feel so shy to tell her, nikampigia pande kwa binti akakubali, ingawa kiukweli bint mwenyewe alikua anampenda sana jamaa ko ikawa rahic tu ila nilimwambia ajitahid kumvumilia coz ndivyo alivyo wala hana dharau. Thanx God toka 2012 mpka 2019 still wapo pamoja na huyo bint, na jamaa hajawahi kuwa na bint mwingine. introvert wengi ni waaminifu, ila some time they don't care others' feelings (speaking of experience)
Nawakubali sana nyie majamaaa mnakuaga sio mizigo kwawatu, hamuombi misaada kupitiliza, hamuelezi matatizo yenu kwa watu. That is how you are appreciate it and be blassed.
Wishing you happy new year 2020



Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la kuto kuomba misaada ni kweli fursa nyingi sana zimenipita kwa sababu ya kutokuomba msaada napambana mwenyewe tu, nikitaka kuomba msaada najifikiria sana huyu mtu ninaye muomba msaada atanifikiriaje?

Wakati wa kwenda kununua Nguo au vitu vyovyote napenda vile ambavyo vinatangazwa bei kabisa nafika pale nachagua natoa hela naondoka sipendi ile negotiations na muuzaji mnaanza kubembelezana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial or stressed.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi,kama udaku na kusema watu,tunataka story zenye facts.

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Mtu akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
Mkuu unanijua ?how dare you describe me like this.
 
Back
Top Bottom