kat.ph
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,222
- 1,675
Chuo maisha yangu yalikua triangle (Hostel, Class, Cafeteria), sikua naenda sehemu yoyote ile. Usiku najisomea chumbani hostel. Sikua napenda discussion na si kwasababu ya kutotaka kuwa na watu, bali kwasababu nilikua naona wananipotezea muda, kitu kipo straight watu wanaongea maneno meengi wanamaliza muda! Solution nilitafuta introvert wenzangu tukawa tunadiscuss kipindi cha mitihani... (obvious walituchukia na kutusema sana). Ilileta maneno mengi kwasababu tulikua ndio vipanga wa darasa
Maisha ya nyumbani naishi chumbani, home waliongea hadi wakakubaliana na hali halisi kwamba ndivyo nilivyo.
Kazini kwa sasa nikitoka narudi straight nyumbani. Kiufupi nakaa ndani kama utumbo..... NA MUDA MWINGI NAUTUMIA KICHWANI KWANGU MWENYEWE (IN MY OWN BUBBLE)
Sent using Jamii Forums mobile app