mangonifera indica
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 845
- 1,462
YOUNGBLOOD,
Umeyaandika maisha yangu, yaani ukitembelewa na mgeni unaona masaa hayaendi
Umeyaandika maisha yangu, yaani ukitembelewa na mgeni unaona masaa hayaendi
nikupongezeMkuu nashukuru umeupata ujumbe wangu, chuoni nilisoma Computer Science.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kuhusu mke au girlfriend, mi nilikuwa na ma girlfriend vimeo vimeo, japo nimepata wife mzuri sasa hiviSina hata hao wachache, sina rafiki pia. Aliyenielewa ni baba tu ndiye ndugu na rafiki kwangu.
Like me....., sipendi kumtembelea mtu na kukaa sebureni kwake, hata kwangu sipendiUmeyaandika maisha yangu, yaani ukitembelewa na mgeni unaona masaa hayaendi
We are stressed, we think too much, we talk fast than normal human beings. We are lonely, we are dying deep inside. We we we we and we....
- Sérgi
Mzee siishi maisha ya tabu kwa kuwa kipato changu pia ni above average ya watu wengi mjini, hii ni moja ya vitu vinavyonisukuma kuwekeza zaidiWewe umetisha
Unataka kuwa Bora kuliko wenzako utao wazunguka
Unaishi maisha ya tabu sana.
Sasa hela unamjuaje mwenzio hana hela kuliko wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mm tu rafiki ninao wachache na tena wakianza kuniseng'enya na kunipiga majungu ndo najitenga nao kabisa.Yaani huyu Ni Mimi.
I'm enjoying staying myself rather than being with people (friends)
Sent using Jamii Forums mobile app
hali usipoizoea inatesa sana hasa ukiwa unaishi au unafanya kazi sehemu yenye muingiliano wa watu wengi
Yap exactly!
Nahisi mimi kwenye introvert characters nimezidisha!
Hahaha,ndio tupo hivyo.
Mimi huwa sitoki kabisa.Hahaha,ndio tupo hivyo.