Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

kama mm tu rafiki ninao wachache na tena wakianza kuniseng'enya na kunipiga majungu ndo najitenga nao kabisa.
NB.Nainteract na watu tunaoendena interest mf siasa,muziki au misimamo ya dini.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Mimi siwezi nikakaa kuanza kuchangia mada,yaani ile kufwatana fwatana hata siwez.
Utanikuta nipo na Mambo yangu,ratiba yangu ya kula ipo kivyanguvyangu tu na najiona nipo sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni introvert na najivunia kuwa hivyo.

Being an introvert doesn't mean that you'll be antisocial.

Changamoto ambazo tunazipata sisi introvert ni kwenye mahusiano na watu.
Hatupendi kukaa na watu

-Hatupendi story za kipuuzi

-Hatuna marafiki.

-Kama tukitaka kwenda club tunaenda club tunaenda wenyewe na hatuchezi mziki tunasikiliza tu.

-Rafiki akija kukutembelea unatamani aondoke,sio kwamba humpendi basi tu unakuwa hupo comfortable.

-Hupendi kupokea simu,simu ikiita unaiangalia , halafu unamtext muhusika

-Unapenda sana text kuliko calls

-Muda mwingi upo kichwani mwako
-kukiwa na meeting kitu pekee tunawaza ni muda wa kuisha.

-kuongeleshana kwenye vyombo vya usafiri ni kero.

-inapotokea umesafiri na ikakulazimu kufikia kwa ndugu au rafiki trust me ile siku unaondoka utajiona kama unatoka gerezani vile..

Kwa ufupi kusocialize ni mtihani mzito sana tunachokitafuta ni kuwa COMFORTABLE.. endapo kuna watu wengi lazima tu mtu anakuwa UNCOMFORTABLE


Yan hakuna raha na starehe nzuri kwetu kama kuwa peke yako hapo utafanya all crazy things na kuenjoy maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli sisi ufanisi wa kazi ubakuwa maradifu endapo kazi tunaifanya katika mazingira pweke bila watu wengine.....wawe wengi sasa niliwahi bangua korosho Mtwara kiwanda ni kikubwa watu ni wengi mwsho wa siku nilijikuta nachanganyikiwa nabaki kutetemeka tu na kukosea hovyo......siku niwahi sasa kiwandani niko mwenyeww nabangua kama automatic machine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-kukiwa na meeting kitu pekee tunawaza ni muda wa kuisha.

-kuongeleshana kwenye vyombo vya usafiri ni kero.

-inapotokea umesafiri na ikakulazimu kufikia kwa ndugu au rafiki trust me ile siku unaondoka utajiona kama unatoka gerezani vile..

Kwa ufupi kusocialize ni mtihani mzito sana tunachokitafuta ni kuwa COMFORTABLE.. endapo kuna watu wengi lazima tu mtu anakuwa UNCOMFORTABLE


Yan hakuna raha na starehe nzuri kwetu kama kuwa peke yako hapo utafanya all crazy things na kuenjoy maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye basi jirani akianza stori unazuga kusinzia.

Mtihani ni unapokutana na ndugu ambae hakujui anaweza hisi una dharau
 
YOUNGBLOOD, Aisee, I see me in you 100%

Is somehow a problem but thank God watu wangu wa karibu wameshanizoea, my girl sometimez,ana call but i'm not interested to pick her phone, after sometime nam text ananiambia today ntk tuongee, basi napokea but naongea km nimelazimishwa, not like I dont love her or what, but doing that is what I like, sipendi kumuumiza but also sipendi kujilazimisha, but all in all she is my best partner, 8 yrs now and still counting, so proud of her, amenielewa tunaelewana, maisha yanaenda.

Problem ni kwa marafiki wa kawaida, hapo ndo kuna mziki, naonekana naringa, simply bcoz I dont like clubing like them, but siringi ila tu sijiskii kufanya kile wanachotaka wao, wanacheza pool table mi nawatazama tu, am fine,ntk muda mwingi niwe alone, niwe na few friends, niwe nawaza zaidi mambo yangu, sitaki kelele mishe mishe, hata nikiwa kwny kundi la watu siongei sn!, sometimes nilihisi mpk mama yangu alidhani namchukia, nikiwa nae hom wakati huo bado niko hom, sikai nae sebleni sn tupige story, I knew that's what she wanted from me at the time but I dont knw... simply I dont want to talk, simchukii mama but hey sina maneno mengi mdomoni. But now niko mbali nae ndio najitahidi angalau kupiga nae story kiaina and I know now she is atleast comfortable, uuh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wewe ni ambivert.
Mm mwnyw tu personality yangu inanisumbua kuielewa vizuri muda mwingi napenda kuwa alone lkn muda nikiwa kwny kundi la watu ama kazini au watu tulio na interest sawa nazungumza mno.Sijui nipo kundi gani.
Nakuwa mkimya kama sijamzoea mtu ila tukizoeana nakuwa mzungumzaji mzuri tu.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Back
Top Bottom