mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,397
Kitu cha Balimi huwa kinanibariki sana
KuzimuKunyweni gongo kwani hamna????
Maana mlisha fanya booking kuzimu labda kwa rehema ya Mungu mtapona..!
Ujinga mtupu asee, inafika wakati mkojo unakua kama juice embe za azamyani mi bia sio ishu kwanza unajaza tumbo na mimaji trip za toilet haziishi ukiamka asubuhi mi hangover na ili ulewe mpk utumie 30000
Wakati mwingine zle alc zao ni uongo.nilienda kununua li whisky la russia lina 96% nikajua litafika mwezi nikienda nalo mdogomdogo ila week tu limeisha
Maji yenye rangi na mapovukwahiyo ulitaka tulewe kwa 30000 kisa tunakunywa juice inayoitwa beer yenye alcohol 5
Hahaaaaaa.viroba avifai mazee tupige ata eaglewanakunywa number one ile ni spirit lazma jasho likutoke, alf hawali kitu wana kula drip tu lzma iwa nyooshe
Sio ALc.Me Uwitaga CC 45.Konyagi ndio muda wao wa kupiga pesa kiwanda kijipange sasa wafikishe huduma zaidiBapa wangeiongeza alcohol kidogo ili kutusaidia maana ilikuwa ukipiga bapa ndogo mbili kichwani hazipandi ili viroba viwili tu full jasho sasa katika kufidia hilo watuwekee 45Alc kwenye konyagi za ujazo wote
Huku inaitwa BALMI.....Tuamieni ktk balimi.Tutazowea tu masela semeni balimi
Kama bia haipand ipo konyag value k vant zote kwa chupamkuu sio kila mtu beer zinapanda
kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
hizo za chupa nazo hazina stimu kama beer tuKama bia haipand ipo konyag value k vant zote kwa chupa
so ni chaguo lako tu
hizo za chupa nazo hazina stimu kama beer tuKama bia haipand ipo konyag value k vant zote kwa chupa
so ni chaguo lako tu
Kaa ivyo ivo na kunywa maji tuhizo za chupa nazo hazina stimu kama beer tu
hizo za chupa nazo hazina stimu kama beer tuKama bia haipand ipo konyag value k vant zote kwa chupa
so ni chaguo lako tu