Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,842
- 4,777
Wanazurula mitaani penye gongo kama wanalinda doria ya wanyamaKwenye gongo nako maaskari wanakamata!
Wanazurula mitaani penye gongo kama wanalinda doria ya wanyamaKwenye gongo nako maaskari wanakamata!
mkuu sio kila mtu beer zinapanda
mshapigwa tatu bila mpaka sasa!
Viroba vimekua adimu kwel, fuata mapendekezo ya wakuu wengine humu wametoa njia mbadala
kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na virobabalimi za buku jero bana zipo....au kuna bia naona zinaitwa eagle buk na miambili tuu...sema stimu hadi unze na gongo
hahahaaaaKwa hiyo mnataka tuseme wanywa bia mmeamua kutufanyia hiana si ndio??? .
Kama kulemewa vijana wamelemewa na madawa na sio viroba mkuuu
Tunatangaza bifu la wanywa bia na wanywa viroba nikachukue zana kwanza
Nyinyi mmemwaga viroba sisi tutamwaga damu
balimi nazo hazipandi bila kushtua na kasichanaNaona wengi wamehamia kwenye balimi" na wa bangi wameamia ugoro.
Umeona eee,mkuu sio kila mtu beer zinapanda
kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
Kingine, viroba ilikua ni mobile bar, yaani unajihudumia mwenyewe,mkuu sio kila mtu beer zinapanda
kweli kabisa beer zenyewe zilikua hazipandi bila kushtua na viroba
kweli kabisa mkuu stimu ya beer 30 ulikua unaipata kwa viroba vitatuWewe unanipigia hesabu ya balimi ya buku jero? Kwani mpaka niifikie ile stimu ya viroba nimekunywa kreti ngapi???
Na wakati buku tatu nilipata vifurushi vyangu daily na fegi za jero
Heshima kiroba itabaki palepale.
Katika harakati zote za awamu hii hakuna hata sehemu niliyokuwa nimefuswa aseee
Sasa naabza kuuona uchungu wa maamuzi ya awamu hii.
Kama mimi niliyeliona taarifa ya kupigwa viroba marufuku nilishtuka! Je vipi wale wengine aseeee.....
Mwaka huuu ama msimy huu kweli shidaa.
Kama sasa hivi nilishakata roki mapeeeeeeema kwa jero
hahahaaaaKingine, viroba ilikua ni mobile bar, yaani unajihudumia mwenyewe,
Wakati mwingine ukikaweka mfuko wa nyuma mademu mate yanawatoka wakijua waleti imetuna
yani mi bia sio ishu kwanza unajaza tumbo na mimaji trip za toilet haziishi ukiamka asubuhi mi hangover na ili ulewe mpk utumie 30000Umeona eee,
Habari za kuamka kichwa kinagonga kama umefungiwa kengere ya kanisa la ufufuo na uzima wengine hatupendi
nilienda kununua li whisky la russia lina 96% nikajua litafika mwezi nikienda nalo mdogomdogo ila week tu limeishawe huwa ufikirii wakati ujao aisee? me huwa naishi kesho teh
mbna wengi wanaotumia wamebabuka midomo ni miekunduUnapotoshwa nmetumia hii kitu tangu npo std 6 mpk leo nipo vzur, kwanza ni tiba
polenilienda kununua li whisky la russia lina 96% nikajua litafika mwezi nikienda nalo mdogomdogo ila week tu limeisha
Nyambaf nyie Ndo mwafanya petrol ipande bei aiseeNina Arosto ya kiroba hapa ila hamna noma naanza kuvuta petrol sijui watafungia na wao
wanakunywa number one ile ni spirit lazma jasho likutoke, alf hawali kitu wana kula drip tu lzma iwa nyooshembna wengi wanaotumia wamebabuka midomo ni miekundu
hahahaa nilikua nikitoka nikirudi nashtua yaani week nzima nlikua highpole
duh kwani kuna ambayo iko dilutedwanakunywa number one ile ni spirit lazma jasho likutoke, alf hawali kitu wana kula drip tu lzma iwa nyooshe
hii nayo stimu ndg
Njia mbadala lazima itafutweNyambaf nyie Ndo mwafanya petrol ipande bei aisee