Kwa wakongwe wa JF tuu.

You risk your job,peeping at JF,hoping to inhale eco/dev/soc positives-only to find urself starring at love stories,backstabbing,and u name it hullabaloo-the PM box is even worse,ppl spitting venom like as if the world is facing an apocalyptic end
 
Hivi unalizimishwa kuwepo JF??Maana unavyolalamika utadhani ni huduma unailipia na unategemea kiwango fulani cha ubora ambao ni nje ya uwezo wako kufanikisha!!!
Hutaki story za mapenzi...USIZISOME.
Unataka mabadiliko....ANZA WEWE.
Stop whining for JF sake!
 
noname tulipanga kuoana lakini haya mambo ya dawasco na yeye hawezi kuteka maji, ikabidi nimwage kwa ushauri wa wifi zake..............................bht ameisusia JF baada ya twin wake kukataa kampango fulani kalikokuwa kanaendeleea hapa JF enzi hizo kukiwa na akina mamshika na babshika hapahapa jamvini..................
Nimemmisi sana huyo hapo kwenye RED!!
 
Hivi unalizimishwa kuwepo JF??Maana unavyolalamika utadhani ni huduma unailipia na unategemea kiwango fulani cha ubora ambao ni nje ya uwezo wako kufanikisha!!!
Hutaki story za mapenzi...USIZISOME.
Unataka mabadiliko....ANZA WEWE.
Stop whining for JF sake!

Baby umezidisha pili pili Manga kwenye uji....mpotezee tu huyo!
 
Hivi unalizimishwa kuwepo JF??Maana unavyolalamika utadhani ni huduma unailipia na unategemea kiwango fulani cha ubora ambao ni nje ya uwezo wako kufanikisha!!!
Hutaki story za mapenzi...USIZISOME.
Unataka mabadiliko....ANZA WEWE.
Stop whining for JF sake!

Kweli Lizzy
Chini ya jua hakuna kisicho na kasoro..ndo maana kuna majukwaa kibao mpaka ya dini,jamii,hoja mchanganyiko Nk nk
 
Hivi unalizimishwa kuwepo JF??Maana unavyolalamika utadhani ni huduma unailipia na unategemea kiwango fulani cha ubora ambao ni nje ya uwezo wako kufanikisha!!!
Hutaki story za mapenzi...USIZISOME.
Unataka mabadiliko....ANZA WEWE.
Stop whining for JF sake!

hahahaahaha kweli kabisa baelezee bana!
 
Back
Top Bottom