mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Explain further utakamvyofundisha mchuchu wako how to love and care hahaha joking......
Kuna wadada above 30 ni warembo kushinda hao below 25 , ns utataka uspend naye, muende wote beach/mbugani.
Hilo la kushindwa hoja ndio maana nikasema wengi wenu mna inferiority complex,kuna kosa gani akikushinda??? Mnapenda kuwa juu mnasahau nyie ni viumbe kama sie tu na sio super beings!
Heee kwani we mwalimu au mume?
The secret behind ni kwamba mwanamke amemzid mwanaume miaka miwili kiakili na ili mume aweze kuwa kichwa cha nyumba angalau aweze kuheshimika na kupewa heshima yake inabidi umzidi miaka, hata wanawake wenyewe wanakuwa comfotabo anapokuwa na mwanaume aliyemzidi umri kuliko ambaye wako sawa au yeye ni mkubwa, ndo maana wanasaikolojia wanasema mwanamke asikuzidi kipato au umri la sivyo mwanamke ndo atakuwa kichwa cha nyumbaHivi hilo la kumzidi miaka mitano lina nini mkuu??,whats the secret behind??
Ish! Kumbe we wa kiumeni!
ni vigumu sana kumueleza kitu akakuelewa, ndoa nyingi zikifika above miaka 30 hubakia uzoefu tu
The secret behind ni kwamba mwanamke amemzid mwanaume miaka miwili kiakili na ili mume aweze kuwa kichwa cha nyumba angalau aweze kuheshimika na kupewa heshima yake inabidi umzidi miaka, hata wanawake wenyewe wanakuwa comfotabo anapokuwa na mwanaume aliyemzidi umri kuliko ambaye wako sawa au yeye ni mkubwa, ndo maana wanasaikolojia wanasema mwanamke asikuzidi kipato au umri la sivyo mwanamke ndo atakuwa kichwa cha nyumba
Kweli tuko tofauti. Nikatafute mtoto wa 25- nimpeleke wapi?
Kwangu mdada awe mature, anajielewa, ameshapitia kashkash za maisha na anajua wapi alipo na anaenda wapi.
Kwangu 28+ ndio umri ninaopenda, otherwise hao 25- siwezi hata kujaribu.
unanipa wasiwasiunazungumzia wanawake wasiojua maazoezi wala diet na hawa ni wote hata kama alizaa na 20. Tumeona watu wameanza kuzaa na 40 na bado wana viuno kama nyigu na body ni nzuri. Cha muhimu ujue nini cha kula na mazoezi ya kufanya
habar ya asubuh mkuu
nzuri bibie,, hbr ya mchana
Unazungumzia wanawake wasiojua maazoezi wala diet na hawa ni wote hata kama alizaa na 20. Tumeona watu wameanza kuzaa na 40 na bado wana viuno kama nyigu na body ni nzuri. Cha muhimu ujue nini cha kula na mazoezi ya kufanya
Mwanamke mzuri ni yule alifanya aina zote za u.m.alaya akaamua kuacha
haijalishi umri
muhimu utulivu wa kimaendeleo.
Mwanamke mzuri ni yule alifanya aina zote za u.m.alaya akaamua kuacha
haijalishi umri
muhimu utulivu wa kimaendeleo.