Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
Unapatikana mkoa gani dada?
Niambie meku, za masiku bhana?
Unapatikana mkoa gani dada?
Najua email zimejaa sana kwa sasa.Nina ka swali,kama hakuna sex kwanini unatafuta asiekua na mke?Si kampani tu?
Habari zenu?
Kama uko single na hutajali naomba kampani yako, ni kamapani ya mambo yooote isipokuwa sex tu. Mambo kama kuhang out pamoja, kwenda church kama ww ni muendaji na kubadilisha uzoefu kwa namna mbalimbali.
Najihisi kuboreka so nimeona nitafute mtu wa kubadilishana nae uzoefu kuhusu lifeee huenda nkapata jipya la kujifunza. Umri awe kuanzia 29 years+. Niko serious wapendwa.
Kuhusu gharama kila mtu atawajibika kwa gharama zake. Nahitaji wawili so kama utapenda niinbox kwenye mbynature@rocketmail.com. Hii ni kwa walio serious tu na si utani.
Mbarikiwe...
wawili wote wa nini?
Naskia harufu ya slii sam
Kuna rafiki yangu mmoja ni sharobaro nnahisi mtawezana
upo mkoa gani?
Mie kampani na hang-outs zangu zina kaelement cha bia-bia hivi na kitimoto choma...kama hutakwazika na hayo sema nirushe miguu inbox!
Uko wapi,maana ya nchi,mji na mtaa husika?
Ebu nipe historia yako kuhusu uhusiano wa kimapenzi....
Binti yangu Mrembo by nature umeweka nyavu hapa. Baada ya kuhang out mtahang in bila shaka. Hata hivyo nakupongeza kuwa huu nao ni ubunifu hasa usawa huu ambapo mibuzi haichuniki. Go ahead and grab one ila pimeni kabla ya kwenda deeper.