Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

Msaada kwenye tuta...
Nimekua naitwa sana kwenye interview na hii kampuni Afaq Group..
Nimeitwa kama mara 4 Hivi.. niliwekaga details zangu linked in..Sasa naitwa Kila siku ila ndo hivyo sipo huko.. deadline inapita...

Sasa Nina maswali najiuliza....nijilipue niende tuu?? Je nikikosa kazi nitafanyaje? (Maana interview sio km ndo ushapata kazi) je maisha huko yapoje? Na je hiyo kampuni ni genuine? Msaada na mawazao ndugu zangu.

Inategemea na aina ya kazi
I’m a lady driver.
Ila nakutana na waafrica wengi kwenye Sheli za mafuta, security kwenye maofisi shule na makampuni.
 
Hi guys. Princess here
Jamani kwa yoyote Aliyoko kikazi hapa Qatar Tujuane tafadhali. Mimi Naishi Al-Dayeen municipal.
Nawakaribisha tujuane kwa changamoto na kuelimishana pia ili tuweze kufikia malengo yetu. Only in U.A .E
[emoji1545]
Upo Qatar mwishoni unasema Only in U.A.E? ma-hausigeli mkifika arabuni akili zinahama?
 
Hi guys. Princess here
Jamani kwa yoyote Aliyoko kikazi hapa Qatar Tujuane tafadhali. Mimi Naishi Al-Dayeen municipal.
Nawakaribisha tujuane kwa changamoto na kuelimishana pia ili tuweze kufikia malengo yetu. Only in U.A .E
[emoji1545]
Hongera dada, piga kazi, weka Akiba, wekeza, KILA LA KHERI 🙏👏🤙💪✊👊🙌🤟👉
 
Aysee fanyeni mjuane jaswa nyinyi mlio mitaa hiyo,
kutaneni mjadili yenu na ikiwezekana muwe na uongozi wetu underground.
waliosoma Cuba mmenielewa.
 
nikiwa na milion moja nauli si inatosha.
Milioni moja kwa ticket ya Go & Return ni ngumu kupata unless ni kenya airways ambayo huanzia 1.2M na wakati mwengine ni 1.1M.
Kama ni Qatar sijui, iyo bei nilioweka hapo juu ni ya Dubai.
 
Back
Top Bottom