Espoir_jnr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 592
- 2,142
Ubaguzi mpaka huko kwetu afrika upo, sema kwa kuwa anae kubagua ni zimwi likujualo basi huwa tunapotezea.na zile story za ubaguz na unyanyasaji ni kweli?
Ila yote kwa yote ubaguzi ambao mtu anakufanyia bila phyisical toture hauna tatizo as long as hakuui sioni shida na nishakutana nao sana huu lakini sijawahi utilia manani.