Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

Kwa Wafanyakazi wote walioko Uarabuni

Msaada kwenye tuta...
Nimekua naitwa sana kwenye interview na hii kampuni Afaq Group..
Nimeitwa kama mara 4 Hivi.. niliwekaga details zangu linked in..Sasa naitwa Kila siku ila ndo hivyo sipo huko.. deadline inapita...

Sasa Nina maswali najiuliza....nijilipue niende tuu?? Je nikikosa kazi nitafanyaje? (Maana interview sio km ndo ushapata kazi) je maisha huko yapoje? Na je hiyo kampuni ni genuine? Msaada na mawazao ndugu zangu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230908-121407.jpg
    Screenshot_20230908-121407.jpg
    89 KB · Views: 3
Tupeni namna ya kufika na kupata kazi huko wajameni, tupatieni connection, loh Bongo jua kali sana,
Wenzetu wakenya na Waganda wanapeana hii michongo sana, ila siwezi loh.
Kwenda Gulf countries ni easy sana kuna makampuni mengi ya kazi za ulinzi, usafi.

Hasa hasa jijini Nairobi Kenya.

Kwa Dar es salaam zipo pia.
 
Hi guys. Princess here
Jamani kwa yoyote Aliyoko kikazi hapa Qatar Tujuane tafadhali. Mimi Naishi Al-Dayeen municipal.
Nawakaribisha tujuane kwa changamoto na kuelimishana pia ili tuweze kufikia malengo yetu. Only in U.A .E
[emoji1545]
Mimi nipo ras al khaimah huku napigika (jokes)
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom