Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nimestaafu siku hizi
Last edited by a moderator:
Vipi Unguja umeshaenda?
Tupate mrejesho!
Unguja nilienda na niliyokutana nayo huko yamebakia huko huko. In other language what happens in Vegas remain in Vegas.
Msalimie Faini mwambie imekula Kwak. .....😎
Nimekuelewa, ukiambiwa urudi utakubali?
Huwezi jua ni shida gani tunapata kupata pesa ya kununua hayo magari.......au tunajinyima vipi.......tuache tuvae tunavyotaka coz magari ni yetu na nguo ni zetu pia........mtuwaaaaache..........
We ukiniona na mini usiniangalie........angalia wababa waliovaa suruali wenye magari.............
Hahaha hahaaa
Kwa hili naungana na UKAWA kuwa sirudi Misri nasonga mbele kuelekea Kaanani.
Ila umenitabasamisha kwanguvu looh teh teh teh
Huwezi jua ni shida gani tunapata kupata pesa ya kununua hayo magari.......au tunajinyima vipi.......tuache tuvae tunavyotaka coz magari ni yetu na nguo ni zetu pia........mtuwaaaaache..........
We ukiniona na mini usiniangalie........angalia wababa waliovaa suruali wenye magari.............
Basi mkiwa mnatelemka kwenye hayo magari yenu msiwe mnavishusha chini na kuvivuta vuta, acheni viwe hivyo.
Shida ni kwamba umekavaa mwenyewe,ukishuka unaanza kuhangaika kukavutavuta ka nini, ulitaka watu waone sasa unahangaika nini kufunika,weka wazi hiyo milonjo na mbunye watu wajionee bure.
raha ya kimini ni kukivutavuta kwa chini, raha ya wig ni kuzigusagusa nywele zisielekee machoniBasi mkiwa mnatelemka kwenye hayo magari yenu msiwe mnavishusha chini na kuvivuta vuta, acheni viwe hivyo.
Shida ni kwamba umekavaa mwenyewe,ukishuka unaanza kuhangaika kukavutavuta ka nini, ulitaka watu waone sasa unahangaika nini kufunika,weka wazi hiyo milonjo na mbunye watu wajionee bure.
Unataka kujua namiliki gari gani? Anyway sipo hapa kwa ajili ya kujipa kick,mada ni juu ya mavazi kwa akina dada wenye magari,ninachojua mimi ukivaa nguo ndefu ni nzuri kuendesha nayo gari coz inajivuta kwa juu na kubaki size inayotakiwa ila ukivaa kimini na ikijuvuta kwa juu pindi unapokaa kwenye kiti cha dereva huoni kama utamu utaonekana aka.Papuchi? Hii hupelekea shida sana pindi utapokuwa na watu wenye heshima zao ndani ya gari lako huku mapaja yapo njee,chupi lipo nje,tena unaweza kukuta mdada mwenyewe hajanyoa ma..zi,ndio inakuwa shida moja kwa moja! Mkubali tu jamani kuwa hii kitu ni mbaya,japokuwa kila mtu yupo free kuishi atakavyo hapa Tz!!! Mimi nimeshauri tu!!!!
Ha ha ha, nimeuliza ili nijue uliinjoi au la!
Maana ungeinjoi ungetaka kurudi tena!
Muulize mhusika kama alinikirimu vya kutosha au alikimbia au alibwabwaja tuu
Kurudi tena....... narudi kwa mtu anayejiamini na anaesimama mwenyewe na sio kwa mtu anayepelekeshwa kama rimoti na kukrontoliwa kama mtoto. Nirudi mahali ambapo hata kukumbatia anauliza nikumbatie au ......
By the way Kasie hasubiri mtu ampe raha au enjoyment, nainjoy mwenyewe kwa nafasi yangu na raha zangu.
Wasalimie wote hao waliokaa na wewe na huyo aliyekaa jirani yako looh
:high5:
Tafadhali husika na mada ya hapo juu.
Mimi ni kijana nisiezidi miaka 30 ni mwenyeji wa Zanzibar. Dhumuni la barua ni kukueleza tangu nipate kukufahamu kupitia Jf unaukosesha raha moyo wangu nakupenda hadi najiogopa najiuliza umeufanya nini moyo wangu.
Nikiona topic yako mpya tu fasta naifungua siku nyingine nakesha kutafuta ulichoandika kwa siku hio nazipenda swaga zako kwa kweli na pia nafikiri utakuwa hodari kupika na pia utakuwa hodari kitandani.
Mwisho nakuomba walau uje kutembelea Zanzibari na kuahidi nitakupatia zawadi kemkem.maana nimejaribu kutuma Private message wameniambia mwenyewe hupendi hio kitu so sina njia nyingine zaidi ya kuandika barua ya wazi kwako.
Wako mtiifu
Micheweni Pemba
BIT Degree Holder.