Kwa wadada wenye magari tu

Kwa wadada wenye magari tu

Wewe na hiyo familia ya huyo rafiki yako mpo karibu sana?
Kila wakati upo nao.

Mkuu Bavaria, ukweli tuko close. We are family friends, tulisoma wote college, na huku mtaani kuna matukio yametuunganisha na kuwa marafiki sana, yaani si ajabu mke wangu anataniana na jamaa yangu au mke wake anataniana na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi jua ni shida gani tunapata kupata pesa ya kununua hayo magari.......au tunajinyima vipi.......tuache tuvae tunavyotaka coz magari ni yetu na nguo ni zetu pia........mtuwaaaaache..........
We ukiniona na mini usiniangalie........angalia wababa waliovaa suruali wenye magari.............
nikikuona nakuangalia!
 
we kweli pia ni zero..mbona huwaambii na wanaume wenye milegezo,ninawakera wanadada pia kuona mimatako ya watu hovyo
 
Mkuu Bavaria, ukweli tuko close. We are family friends, tulisoma wote college, na huku mtaani kuna matukio yametuunganisha na kuwa marafiki sana, yaani si ajabu mke wangu anataniana na jamaa yangu au mke wake anataniana na mimi.

Urafiki wenu hauna mwisho mzuri
 
Habari za asubuhi?

Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.

Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni /visketi vifupi sana, inakuwa shida sana pindi mnapotoka kwenye magari yenu, utakuta mdada wa watu anakosa amani na kuanza kukivuka kinguo chake mara kwa mara.

Mimi najiuliza hivyo vinguo vyenu ndio maelekezo mliyopewa wakati wa kupata leseni ya udereva kuwa ni lazima uvae nusu uchi ili uonekane mjanja au kuonesha kuwa ni dada poa?

Mila na tamaduni zetu za kitanzania, pindi uvaapo na kutoka nje ni lazima uheshimu na wengine,usiwape watu mifadhaiko isiyo na lazima.

NB: Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi. Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.

Usilaumu magharibi, wanaiga Movie za Kibongo!
 
waache wadada .hayo nayo ni mabadiliko .mabadiliko si siasa tu
 
Raha ya binti aendeshe gari huku amevaa sketi fupii huku ikipanda juu mara kwa mara, burudani sana kuangalia
 
Habari za asubuhi?

Niende moja kwa moja kwenye mada,kuna ongezeko kubwa sana la wanawake/wadada kumiliki gari na kuziendesha pia,ni jambo jema kwa kweli.

Ila shida yenu kubwa ni kuvaa vigauni /visketi vifupi sana, inakuwa shida sana pindi mnapotoka kwenye magari yenu, utakuta mdada wa watu anakosa amani na kuanza kukivuka kinguo chake mara kwa mara.

Mimi najiuliza hivyo vinguo vyenu ndio maelekezo mliyopewa wakati wa kupata leseni ya udereva kuwa ni lazima uvae nusu uchi ili uonekane mjanja au kuonesha kuwa ni dada poa?

Mila na tamaduni zetu za kitanzania, pindi uvaapo na kutoka nje ni lazima uheshimu na wengine,usiwape watu mifadhaiko isiyo na lazima.

NB: Hii mada ni spesho kwa wenye tabia hizo za kutega watu na kujifanya watu wa magharibi. Kumbe kigari chenyewe kahongwa au cha urithi.

Oooiii msitusumbueee... hivi asili ya uvaaji nguo ni ya wapi? sisi waTz na waafrika uvaaji wetu haswa ni upi na dizaini gani?
Acha wivuu kijana na ujue kwenye gari kunajoto na hatutumi AC Kubana matumizi so tunavaa hivyo tupate maheewaa...
 
Back
Top Bottom