Kwa wadada wenye magari tu

Kwa wadada wenye magari tu

Siku Mtaja Mjisahau Unakuta Umekalia Lungu La Gia Na Huto Tupichu Twenu Ni Kamba Tu Mtaja Sababisha Mambo Mengine
 
pajha zuri mi linantega maana ni mwanaume kamili....ila mambo ya mavaiz kila mtu anajua yeye...
 
Muulize mhusika kama alinikirimu vya kutosha au alikimbia au alibwabwaja tuu

Kurudi tena....... narudi kwa mtu anayejiamini na anaesimama mwenyewe na sio kwa mtu anayepelekeshwa kama rimoti na kukrontoliwa kama mtoto. Nirudi mahali ambapo hata kukumbatia anauliza nikumbatie au ......

By the way Kasie hasubiri mtu ampe raha au enjoyment, nainjoy mwenyewe kwa nafasi yangu na raha zangu.
Wasalimie wote hao waliokaa na wewe na huyo aliyekaa jirani yako looh
:high5:

Dear Kasinde.

"Please dont show people our true color"coz If u do so,they will continue to ask many questions.
 
Huwezi jua ni shida gani tunapata kupata pesa ya kununua hayo magari.......au tunajinyima vipi.......tuache tuvae tunavyotaka coz magari ni yetu na nguo ni zetu pia........mtuwaaaaache..........
We ukiniona na mini usiniangalie........angalia wababa waliovaa suruali wenye magari.............

Banange! !!! Nimecheka sana.
 
Dear Kasinde.

"Please dont show people our true color"coz If u do so,they will continue to ask many questions.

Pole ndugu yangu, unajua huyu Raimundo sijui hata aliibuka wapi na hii issue wakati ilishapita kitambo sana. Mie wala sikuwa namjibu wewe, nilimaanisha mtu mwingine kabisaa maana kuna mtu nae alishavuruga na blah blah kibao. So please worry out siwezi weka habari za mtu hapa si sawa na si vizuri.
Hii niliyojibu mtu mwenyewe hata sikumtaja japo moyoni namfahamu na yeye huyo mtu anajijua.
BY THE WAY, YOU KNOW WHAT HAPPENS BETWEEN US ....... and u know that whom I explained here is not you.

Please accept my apology if I disappoint you, it wasn't you.
 
Last edited by a moderator:

My dear Kessy. I understand you very well,and of coz I know there is nothing to worry about you.you are so gorgeous I love ur English very much.
 
Last edited by a moderator:
Pole ndugu yangu, unajua huyu Raimundo sijui hata aliibuka wapi na hii issue wakati ilishapita kitambo sana. Mie wala sikuwa namjibu wewe, nilimaanisha mtu mwingine kabisaa maana kuna mtu nae alishavuruga na blah blah kibao. So please worry out siwezi weka habari za mtu hapa si sawa na si vizuri.
Hii niliyojibu mtu mwenyewe hata sikumtaja japo moyoni namfahamu na yeye huyo mtu anajijua.
BY THE WAY, YOU KNOW WHAT HAPPENS BETWEEN US ....... and u know that whom I explained here is not you.

Please accept my apology if I disappoint you, it wasn't you.

Aiseeeeh!

Uwe unavaa vimini ukidrive ,inakuwa sexy!
 
Last edited by a moderator:
Unataka kujua namiliki gari gani? Anyway sipo hapa kwa ajili ya kujipa kick,mada ni juu ya mavazi kwa akina dada wenye magari,ninachojua mimi ukivaa nguo ndefu ni nzuri kuendesha nayo gari coz inajivuta kwa juu na kubaki size inayotakiwa ila ukivaa kimini na ikijuvuta kwa juu pindi unapokaa kwenye kiti cha dereva huoni kama utamu utaonekana aka.Papuchi? Hii hupelekea shida sana pindi utapokuwa na watu wenye heshima zao ndani ya gari lako huku mapaja yapo njee,chupi lipo nje,tena unaweza kukuta mdada mwenyewe hajanyoa ma..zi,ndio inakuwa shida moja kwa moja! Mkubali tu jamani kuwa hii kitu ni mbaya,japokuwa kila mtu yupo free kuishi atakavyo hapa Tz!!! Mimi nimeshauri tu!!!!

Kama kila mtu yupo free kuishi anavyotaka hii mada umeileta ya nini acha zako
 
Na kama uvaaji huo ndio ulimsababisha akapewa zawadi ya gari? Lazima auheshimu
 
Back
Top Bottom