Kwa wadada wanaosaka ndoa

Kaka Malaya ni Malaya tu hata upikee, mpaka upewe certificate, na kitqndani ubinukeee ubilingiteee kama mchepukaji atachepuka tuuuuu
 
Nitamfundisha kupika, Mi pia nitakuwa namsaidia kupika, Ninachohitaji awe na utii kwangu, Na awe ananielewa, Kutojua kupika kwake si ishu kubwa kwangu.
Huo utii alianza kuukosa kwa mama aliyemzaa ataupata kwako kweli.
 
Kaka Malaya ni Malaya tu hata upikee, mpaka upewe certificate, na kitqndani ubinukeee ubilingiteee kama mchepukaji atachepuka tuuuuu
Kuchepuka ni kawaida mkuu,noma ni kukimbiwa tena kuelekea kule ulikodhani ni duni mfano kwa beki3.
 
Mwanaume kama sio wewe anakutaka.......... hata ukaange moyo wako ale, au ufanye nn sjui....... walaa itabaki kuwa sio wewe tuu..... hata ubinuke kichwa chini miguu juu hawaoni.... Just love and give enough ukiona haviwi reciprocated walk mdada....
 
Upo sahihi kaka
 
Siri kuu ya kupendwa ni kumjali mume,kujua anavaa nini, anakula nini Na aina gani ya chakula anakopenda,hapo mke atakuwa amemuwin mwanaume
 
Bora mie najua kupika chai.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…