Wanajua mapenzi ni kugawa tendo la ndoa hata Mara tano kwa siku.Wanajifunza kukata viuno,hawana unyenyekevu,hawana lugha ya kubembeleza,hawajali bajeti ya familia!!!!!!
Mke kama huyo anipitie mbali.
Anataka tu ufeWanajua mapenzi ni kugawa tendo la ndoa hata Mara tano kwa siku.
Jikoni akupa sebuleni akupa bafuni akupa chumbani akupa mpaka makoridoni akitoka hapo baby naomba hela ya kusuka.unategemea kidume niendelee na mke anayejua kugawa nyapu tu ?
Thubutu
Umenunua chakula ndani,lakini unakula nje...kwanini usihamie unakokula. Hivi mke mke asiyejua kupika atajua kufua kweli.Kumbuka jukumu namba moja la mwanamke wa kiafrika ni kupika ndani hata wewe japokuwa umepika kuanzia utotoni mpaka Leo ukioa ama umeoa hata mkeo hata kubali( kama anakujali) utapakae masizi jikoni ilihali yeye aangalia muvi sebuleni
Mke asiyejua kupika wazee ni shida sana mengine mengi atakuwa hayawezi nimeona wengi sanaUmenunua chakula ndani,lakini unakula nje...kwanini usihamie unakokula. Hivi mke mke asiyejua kupika atajua kufua kweli.
Hakika ndiyo maana unakuta mume anahamia kwa mchepuko nyumbani hakuna utamuUmenunua chakula ndani,lakini unakula nje...kwanini usihamie unakokula. Hivi mke mke asiyejua kupika atajua kufua kweli.
She is not serious.Mke asiyejua kupika wazee ni shida sana mengine mengi atakuwa hayawezi nimeona wengi sana
Wanasema wanautamu wa nyapu!huo haushibishi.Mume ni kama mtoto tu hupenda anapohudumiwa.Hakika ndiyo maana unakuta mume anahamia kwa mchepuko nyumbani hakuna utamu
Wewe mkuu wewee!?Ila ukiwa na mwanaume anaejua kupika raha sana
Mengine yepi mkuu yaliyonathamani kuliko njaa yako. Mke asiyejua kupika mara nyingi huwa hawezi hata kutunza watoto.Napenda mengine zaidi ya kupikiwa.
Huduma kwa WatejaLazima ajipodoe kwanza ,nitajuaje kama anaweza kupika vizuri.
Mapokezi kwanza
mtoto wa kishua.........mmh......utaolewa tu usijarSawa ntapika ila vya ngano chenga
Nitamfundisha kupika, Mi pia nitakuwa namsaidia kupika, Ninachohitaji awe na utii kwangu, Na awe ananielewa, Kutojua kupika kwake si ishu kubwa kwangu.Mengine yepi mkuu yaliyonathamani kuliko njaa yako. Mke asiyejua kupika mara nyingi huwa hawezi hata kutunza watoto.
Kwanza mambo ya chumbani ni siri yenu wawili tu.mi mwenyew bhana mke wangu ajue tu kupika mambo ya kitandani ntamfundisha mwenyewe...............
na kibaya zaid ndo mzazi wako na dada zako wajue kuwa mkeo hajui kupika.......mbona utafurahKwanza mambo ya chumbani ni siri yenu wawili tu.
Lakini la jikoni ni la wengi na aibu humgeukia mwanaumeb
Imagine uko na rafiki yako mkeo anawaletea chakula kibichi au kina kasoro nyingine hiyo aibu waificha wapi ?na kibaya zaid ndo mzazi wako na dada zako wajue kuwa mkeo hajui kupika.......mbona utafurah