Kwa wadada wanaosaka ndoa

Kila ntu ana sample zake .
 
msitutie ujinga kuna watu utawapikia mpaka unahisi vidole vinapungua urefu ila hata neno kuropoka kwa bahati mbaya hajawahi akhuuu
 
Nyie danganyaneni tu,ooh viuno,viuno bila kushiba!
ukileta wageni nyumbani mpaka aibu chai in chumvi!
 
Na huku kulea watoto usioweza kuwapikia hata uji inawezekana vipi? vitoto vimejikondea kwa kulishwa mikate.
 
Mwanamke asiyejua kupika hata kutandika kitanda hatajua.
 
Hakuna kasoro kubwa kwa mwanamke kama kutokujua kupika.
Kuna mambo matatu kila mwanaume angependa kuyaona kwa mke wake.
1 upishi unaoridhisha
2 usafi
3 mapenzi ya kweli
Na bahati nzuri vitu vyote hivyo ni tabia za kijifunza lakini wadada wa siku hizi hayo mengi hawayawezi
 
Kuna mengine huwa tunavumilia tu japo la kupika ni gumu sana kulivumilia
Ni aibu kubwa mno kuwa na mke asiyejua kupika hasa wanapokuwepo rafiki zako halafu kitengwe chakula kibichi au chenye kasoro
 
Wanajifunza kukata viuno,hawana unyenyekevu,hawana lugha ya kubembeleza,hawajali bajeti ya familia!!!!!!
Mke kama huyo anipitie mbali.
 
Ulemavu na kutokujua kupika ni vitu viwili tofauti kabisa kutokujua kupika kwa mwanamke wakati ana viungo vyote vya mwili ni ulemavu wa akili mkuu.
Inawezekana kabisa mke akawa mambo mengine mazuri sana kwako na ukalovumilia la kutokujua kupika ila ujue hata furaha yako ndani itakuwa ya muda tu.
 
Kila siku utarudi na parcel ya kiepe nyumbani!si utumwa huo!
 
Congrats.
Na mtu anaweza kujifunza tu mambo mengi tunajifunza tu siyo tunazaliwa nayo hata mke akiwa hajui kupika akaamua kujifunza na kuwa master jikoni vizuri tu.
Tatizo linakuwepo pale baadhi wanalichukulia kama ni mzigo kwa mwanamke ilihali ni tunu muhimu kwa mwanamke kujua kupika.
 
Kumpikia mwanaume ni alama ya appreciation.
Sasa wewe jifanye unaleta kiburi atapikiwa na michepuko
Siyo tu appreciation ameleta mchele ndani lazima ungeuzwe wali,akileta unga wa ngano anahitaji ugeuzwe chapati,mandazi nk. House girl akipika sana mara anapewa promotion halafu mtu ana drink poison.
 
Kumbuka jukumu namba moja la mwanamke wa kiafrika ni kupika ndani hata wewe japokuwa umepika kuanzia utotoni mpaka Leo ukioa ama umeoa hata mkeo hata kubali( kama anakujali) utapakae masizi jikoni ilihali yeye aangalia muvi sebuleni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…