ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Zingatia ushauri huu.
Badala ya kuhangaika na nyonga zako,mapoda na wanja wa mwendokasi,wewe jikite kwenye jiko. Hakuna mwanaume anayeweza kuchomoa kwenye misosi ya maana. Ukilijulia tumbo lake tu biashara imeisha.
Kama hujui mapishi itakuwa ngumu kidogo,japokuwa inawezekana,maufundi ya chumbani ni sifa za ziada,sifa ya msingi ni house keeping na lishe hayo mengine utajifunzia huko huko.
Asante.