Si muoane ndo akutunze?hata hajakuoa mbona walalamika?ungekuwa mke hapo ningekuelewauna bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizihivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
una bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizi, hivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
Hivi kumbe wadada mkipata BF kitu cha kwanza kuwazia ni kuhudumiwa na yeye? Kwani wewe umekuwa mke?! Au jinsia yako ndo mtaji wako? Kama hakuridhishi hilo ni suala lingine na waweza kufanya maamuzi mapema maana bado ni BF tu, lakini huduma za bure mwanzoni hivi, mhhhhh ..... Mnajishushia hadhi .....! Jenga heshima yako kwa kujitegemea, na yeye kama ana akili zake atakuhudumia kwa wakati wake. Mi mwanamke akinianza kwa mizinga, nampiga chini mapema ...
Samahani kumbe ulisema ni wadada tu ndo wachangie, mi niliingia bahati mbaya! Sijui mlango wa kutokea uko wapi! ... na
log-off!
Shoga angu hapo mtimulie mbali,
Cha kupanuana via vya uzazi kitu gani?
Afu bure,ptuuu...!!!
Yalishawah kunikuta hayo tena yeye alihamisha na matambara yake akaja kuyaweka kwangu.
Nilichomfanya siku hyo nikambebea minguo yake nikaenda kumwagia mchana kweupeee ofisini kwake.
Aibu shu.
Nashukuru Mungu alikuja kubadilika mpaka nikashangaa.
Hebu nawe tumia hii mbinu afu usubiri matokeo.
hata hujiulizi huyu mtu anakula nn? kapendezeshwa na nanani unachomeka tu hata hujui sabuni ya kujitawa**** natoa wapi chapa malapa kuleeeeeeeeeeeee
Shoga angu hapo mtimulie mbali,
Cha kupanuana via vya uzazi kitu gani?
Afu bure,ptuuu...!!!
Yalishawah kunikuta hayo tena yeye alihamisha na matambara yake akaja kuyaweka kwangu.
Nilichomfanya siku hyo nikambebea minguo yake nikaenda kumwagia mchana kweupeee ofisini kwake.
Aibu shu.
Nashukuru Mungu alikuja kubadilika mpaka nikashangaa.
Hebu nawe tumia hii mbinu afu usubiri matokeo.
Nimecheka sana hii mada HorsePower my kaka na wewe umeshindwa kusoma heading haikuhusu tunakutupilia kuleeeeeee da kweli nimekuwa nimeona mengi big up Jf lol The Boss njoo utie neno huku kwa wadada SnowBall njoo ucheke mbavu zako huku Madame B anachekesha sana