kwa wadada tu

kwa wadada tu

hata hujiulizi huyu mtu anakula nn? kapendezeshwa na nanani unachomeka tu hata hujui sabuni ya kujitawa**** natoa wapi chapa malapa kuleeeeeeeeeeeee

Kwa hiyo mwanamke ukipata BF cha kwanza kufikiria ni huduma? Kumbe ndo maana vijana wa siku hizi wanakimbia hawataki kuoa na baadhi yenu mnadabaki manung'aembe!
Samahani kuchangia tena, Nilikuwa nimelogg-off nivea kanirudisha, LOL!
 
Last edited by a moderator:
Haswaa aseme kama anahitaji kumunio na divai atapata....mambo ya d.u.d.u akhaa
Mimi na Ciello ni watawa, hayo mambo ya kutoa sijui "vitumbua" sijui "dudu" hatuyafahamu kabisaa. Labda ungezungumzia kutoa divai tungekuelewa kidogo.
 
Yaliomo yamo' mwanaume kaumbiwa mateso kuangaika
 
Samahani maoni yangu yanaweza yasikufurahishe. Lakini unataka mkishado asbh akuachie hela kwani unamuuzia penzi? Au ndio tayari baba mwenye nyumba anaacha hela ya matumizi?

Na ukienda kulala kwake, wewe ndio utaacha hela? Maana umezungumzia cjui maji, umeme, kodi ya chumba n.k! Halafu umeshasema ana kipato kdg!!

Anyway, huenda mi hela za mambo madogo kama hayo hazinisumbui wala sitarajii hilo kupata kutoka kwa mwanaume.

Nikiwa na mwanaume nataka mapenzi tu, sio kingine. Kama vipi nakushauri mzoeze uwe unaenda home kwake sio yeye aje kwako. Mshauri na kumsaidia namna ya kuongeza kipato chake kama unampenda na unataka future naye. Vinginevyo humpendi kama ulivyosema basi muache kuliko kuendelea kuwa naye kwa sababu eti unamhurumia ukimuacha atalia!!

Wanawake tuamke, wakati wa kukaa kutegemea wanaume umepita, siku hizi kusaidiaña ndo maana hata wanàume wanaosha vyombo!

una bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizi, hivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
 
kha wanawake mbona hamjipendi nyie loh!! wee na akili zako unakaa unapumuliwa na mwanaume na kuchafua papuchi yako wakati hakuridhishi...ebu jipendeni kwanza ebo !!!
 
Sasa ulitakiwa utuambie kama anacho anakunyima au laah otherwise hatuwezi kujua kwanini hatoi hayo mahitaji
 
Wewe mdada..lol
Kweli Wanaume tusokuwa na pesa tuna taabu!
Umenifanya nicheke kwa sauti..hapo kwenye kupanuana via vya uzazi! snowhite njoo umuone huyu mdada anavyonichamba pacha wako..
BTW samahani kwa kuchangia kaniita nivea ....

Shoga angu hapo mtimulie mbali,
Cha kupanuana via vya uzazi kitu gani?
Afu bure,ptuuu...!!!

Yalishawah kunikuta hayo tena yeye alihamisha na matambara yake akaja kuyaweka kwangu.
Nilichomfanya siku hyo nikambebea minguo yake nikaenda kumwagia mchana kweupeee ofisini kwake.
Aibu shu.

Nashukuru Mungu alikuja kubadilika mpaka nikashangaa.
Hebu nawe tumia hii mbinu afu usubiri matokeo.
 
Last edited by a moderator:
mi napita tu....usimkimbize angalia utam anao kupa .....kama anakupa raha basi mbona hata swala la kipato utasahau!samahani mapenzi kwanza pesa majaaliwa.......msini judge napita tu!
 
Wewe mdada..lol
Kweli Wanaume tusokuwa na pesa tuna taabu!
Umenifanya nicheke kwa sauti..hapo kwenye kupanuana via vya uzazi! snowhite njoo umuone huyu mdada anavyonichamba pacha wako..
BTW samahani kwa kuchangia kaniita nivea ....

Nooo ucmwite pacha wako bhana.
 
Last edited by a moderator:
pacha na we umemuanzia nini bosss wangu tena!lol
ah mi nna maslahi hapa bana!
af na nyie wakina kaka hebuacheni K B K B K B!
 
Nimecheka sana hii mada HorsePower my kaka na wewe umeshindwa kusoma heading haikuhusu tunakutupilia kuleeeeeee da kweli nimekuwa nimeona mengi big up Jf lol The Boss njoo utie neno huku kwa wadada SnowBall njoo ucheke mbavu zako huku Madame B anachekesha sana

Jamani mamito.
Unajua wanaume wanakera sana.
Dawa hyo hyo.
Unamtoa baru Pichu mkononi,akae bure hapa kwa wazazi wake?
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulivyonimwagia radhi hapa ukumbini unadhani nitaonekanaje?..halaf hata viwalo vyangu eti unayaita 'matambara' kuna haja pacha wangu aje aone jinsi mtu mzima ninavoaibishwa hapa...lol

Nooo ucmwite pacha wako bhana.
 
raha jipe mwenyewe hii dunia imebadilishana na jupiter yani huyo mkimbize na ikibidi na kichapo juu wanaume wengne hawafikirii marambili kazi yake ni kuchomeka na kuchomoa gobore bila aibu,yani ana bahati yake mi bado minor khaaaa
 
Kisa eti sijaacha hela ya LUKU!!..ndo kanibwagia zile suits zangu za woolworths hapa ofisini (afu anayaita matambara)...inakuja hii kweli my pacha snowhite?

pacha na we umemuanzia nini bosss wangu tena!lol
ah mi nna maslahi hapa bana!
af na nyie wakina kaka hebuacheni K B K B K B!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom