Hamna hyo,
Tatizo lenu mkikaribishwa tu mnataka mjenge Mdule.
Wewe ni mwanamke bora kabisa. Nimekugongea LIKE kuweka msisitizo.Samahani maoni yangu yanaweza yasikufurahishe. Lakini unataka mkishado asbh akuachie hela kwani unamuuzia penzi? Au ndio tayari baba mwenye nyumba anaacha hela ya matumizi?
Na ukienda kulala kwake, wewe ndio utaacha hela? Maana umezungumzia cjui maji, umeme, kodi ya chumba n.k! Halafu umeshasema ana kipato kdg!!
Anyway, huenda mi hela za mambo madogo kama hayo hazinisumbui wala sitarajii hilo kupata kutoka kwa mwanaume.
Nikiwa na mwanaume nataka mapenzi tu, sio kingine. Kama vipi nakushauri mzoeze uwe unaenda home kwake sio yeye aje kwako. Mshauri na kumsaidia namna ya kuongeza kipato chake kama unampenda na unataka future naye. Vinginevyo humpendi kama ulivyosema basi muache kuliko kuendelea kuwa naye kwa sababu eti unamhurumia ukimuacha atalia!!
Wanawake tuamke, wakati wa kukaa kutegemea wanaume umepita, siku hizi kusaidiaña ndo maana hata wanàume wanaosha vyombo!
Hehehehe wife bana, kesho naenda saluni wallahi!!.uzi huu umeconclude kuwa mwanaume pesa, ndevu uchafu . .
Haswaa aseme kama anahitaji kumunio na divai atapata....mambo ya d.u.d.u akhaa
Wewe ndie mwanamke unayefaa.Samahani maoni yangu yanaweza yasikufurahishe. Lakini unataka mkishado asbh akuachie hela kwani unamuuzia penzi? Au ndio tayari baba mwenye nyumba anaacha hela ya matumizi?
Na ukienda kulala kwake, wewe ndio utaacha hela? Maana umezungumzia cjui maji, umeme, kodi ya chumba n.k! Halafu umeshasema ana kipato kdg!!
Anyway, huenda mi hela za mambo madogo kama hayo hazinisumbui wala sitarajii hilo kupata kutoka kwa mwanaume.
Nikiwa na mwanaume nataka mapenzi tu, sio kingine. Kama vipi nakushauri mzoeze uwe unaenda home kwake sio yeye aje kwako. Mshauri na kumsaidia namna ya kuongeza kipato chake kama unampenda na unataka future naye. Vinginevyo humpendi kama ulivyosema basi muache kuliko kuendelea kuwa naye kwa sababu eti unamhurumia ukimuacha atalia!!
Wanawake tuamke, wakati wa kukaa kutegemea wanaume umepita, siku hizi kusaidiaña ndo maana hata wanàume wanaosha vyombo!
Hehehehe wife bana, kesho naenda saluni wallahi!!
una bf wako ambae anakupenda sana na unajua anakupenda sana tofauti na wewe unavyompenda tatizo sijui na hana kipato au haoni umuhim, hana kipato kikubwa anakuja kulala kwako unampa dudu asubuhi anaondoka hata 50 haachi umepanga chumba kwa hela yako unakula kwa hela yako, unacheza kibati kwa hela yako, bili umeme, maji unalipa kwa hela yako, saloon ni kwa hela yako ikibidi hata rotion unanunua kwa hela yako istoshe kitandani hakulizishi kabisa ukimuambia muachane analia kilio cha mbwa mwizi, hivi kuna haja ya kua na huyu mwanamme ambae anaku ku***do tu bila faida yoyote eti kwa kua anakupenda sanaa na anataka kukuoa unahangaika na maisha mwenyewe? maoni kama ungekua wewe ungefanyaje
Si muoane ndo akutunze?hata hajakuoa mbona walalamika?ungekuwa mke hapo ningekuelewa
Wewe ndie mwanamke unayefaa.
Lakini avatar yako inafanana na Bethany Benz, inanitisha.