kwa wadada tu

kwa wadada tu

Kisa eti sijaacha hela ya LUKU!!..ndo kanibwagia zile suits zangu za woolworths hapa ofisini (afu anayaita matambara)...inakuja hii kweli my pacha snowhite?

tatizo mnataka
K BURE
KULA BURE
KULALA BURE
matokeo yake ndo haya!
 
ni kweli SnowBall nimefundishwa huruma nimefundishwa kusamehe nina huruma sana lakini ukweli ni kwamba walimwengu wengi hawana huruma.

Hata wewe jamani?...mbona nakuonaga kama una huruma!..lol
 
..mtaua watoto wa wenzenu jamani, kula dudu ndo.akuhudumie kila kitu?.......jokes

Sikatai kuwa huyo mwanaume uliyenae ni bahili au hajui.majukumu...... Hata hela ya mkate? Akikuoa ujue unalo...hao nda hawajui hata watoto wamekula nini....yaani hata alie machozi ya damu....mtiririshe hafaiiiiiiiii
 
Hivi faida ya kuwa na bf ni nini?Wadada hebu nijibuni maana mwenzenu amesema hakuna faida ya kuishi na mwanaume kama huyo.

Dada una upofu mkubwa,ni bora ungetuambia hapa kama huyo jamaa hataki kufanya kazi,au kama ni kicheche.Umelalamika sana na huna point ya maana,unadhani mwanaume mwenye faida ni anaekupa hela.Kuna mambo mengi sana kwenye mahusiano,utaja mkumbuka huyo unaeona wa nini sasa!
 
Endelea kuwa na huruma tu mamaangu...Ila kwenye huu uzi ndo naona wanawake wasivyotaka utani kwenye HELA...yaani kila mdada anasupport jamaa afurumushwe..lakini mbona mleta uzi kasema ni BF wake tu..sijui ingekuwa MUMEWE mngesemaje!! na anasema eti huyo Jamaa ANAMPENDA sana...kwa nini hamjiulizi huo UPENDO huyu mdada ameupimaje???..

ni kweli SnowBall nimefundishwa huruma nimefundishwa kusamehe nina huruma sana lakini ukweli ni kwamba walimwengu wengi hawana huruma.
 
Hivi faida ya kuwa na bf ni nini?Wadada hebu nijibuni maana mwenzenu amesema hakuna faida ya kuishi na mwanaume kama huyo.

Dada una upofu mkubwa,ni bora ungetuambia hapa kama huyo jamaa hataki kufanya kazi,au kama ni kicheche.Umelalamika sana na huna point ya maana,unadhani mwanaume mwenye faida ni anaekupa hela.Kuna mambo mengi sana kwenye mahusiano,utaja mkumbuka huyo unaeona wa nini sasa!
 
Sasa ulivyonimwagia radhi hapa ukumbini unadhani nitaonekanaje?..halaf hata viwalo vyangu eti unayaita 'matambara' kuna haja pacha wangu aje aone jinsi mtu mzima ninavoaibishwa hapa...lol

Na nyie wanaume mmezidi ubahili.
Unalala kwangu,
unakula kwangu,
tunatoka Out hata bill hulipi,
Nyapi nakupa bure halafu hata sh kumi usinipe?
Sepaaa,
kuna midume kibao inanitaka.
Yani mwanaume kama huyo namshikia kipaza sauti na dunia nzima itamjua.

Afu wanaume dizaini hyo,wanatakaga bao kuanzia tano na kuendelea,si anajua nyapi ya bure ipo.
 
Hapo nilipobold ndo mnakoseaga tu...ukitaka ujue uzuri wa kazi acha KAZI!!

Na nyie wanaume mmezidi ubahili.
Unalala kwangu,
unakula kwangu,
tunatoka Out hata bill hulipi,
Nyapi nakupa bure halafu hata sh kumi usinipe?
Sepaaa,
kuna midume kibao inanitaka.
Yani mwanaume kama huyo namshikia kipaza sauti na dunia nzima itamjua.

Afu wanaume dizaini hyo,wanatakaga bao kuanzia tano na kuendelea,si anajua nyapi ya bure ipo.
 
....kwangu mie nilichokiona hapo huyo mwanaume ana njaa kali na amepata sehemu ya kuweka bega. Dada machozi yamemfumba akili akiamini anapendwa sana hakuna lingine SnowBall.

.
Endelea kuwa na huruma tu mamaangu...Ila kwenye huu uzi ndo naona wanawake wasivyotaka utani kwenye HELA...yaani kila mdada anasupport jamaa afurumushwe..lakini mbona mleta uzi kasema ni BF wake tu..sijui ingekuwa MUMEWE mngesemaje!! na anasema eti huyo Jamaa ANAMPENDA sana...kwa nini hamjiulizi huo UPENDO huyu mdada ameupimaje???..
 
Heheee
ila shoga angu hebu kuwa muwazi.
Mwanaume wa dezo unamtaka?

ahahahhhahahha mwenzio mie nikipuruhswa maji uzuri ah mbona nahonga mwenyewe!MY BAD! hapo ndo ukungwi wangu unaponishinda hapo,hapo tu!
Shikamoo shemeji yake SnowBall
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom