Natarajia kuanza kununua dada poa rasmi kupooza nafsi yanguq

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke mwema, na usipo kua mwangalifu unaweza ukajipatia mental disioder hivi hivi.

Sasa ili kujilinda nimeamua rasmi nianze kununua dada poa kama njia ya kuburudisha moyo wangu, japo sijawahi kununua dada poa tokea ni zaliwe na nilijiapiza sitokaa kununua dada poa na kuwekeza nguvu kubwa sana katika kutafuta mke mwema ila mipango na malengo yangu yote imegonga mwamba nazidi kua mpweke sana

Nimejaribu kila michezo na kujichanganya sana na watu, kunywa pombe kali sana , kuhudhuria viwanja na kadhalika na kadhalika lakini nikajakugundua furaha yangu kubwa ni kuwa na mwanamke na ndiyo maana niliwekeza sana kwenye kutafuta mke ili kuziba hili pengo la upweke katika moyo na nafsi yangu.

Ndugu zangu nahitaji kuanza kununua wale dada poa either wa mtandaoni au wale wa kumbi za starehe mitaani ila wawe na hadhi thabiti na lengo hasa ni kustarehesha moyo wangu na nafsi yangu maana nimegundua pombe kali sii kitu ni kipoozeo cha muda tuu.

Pia nikipata mke mapema nitaghairi huu mpango wangu na hakika nitaoa na kuleta mrejesho kwenu,

Wanawake na wakaribisha Pm yangu na hata wenye link (weka pm) au wanaojua dada poa wenye hadhi wanako patikana naombeni mfunguke hapa

Najua ni risk sana kununua dada poa ila tuombeane heri tuu maana sina jinsi tena.

Nb: Kama kuna mwanamke atakua teyari kuolewa na mimi kuniepusha na hichi kikombe aje pia PM ila aandike yupo teyari kua mke kwa dada poa andika kabisa wewe ni dada poa.
 
Mkuu hebu ongea na watu wazima wa kusaidie kupata mke kama huna maokoto na unakutana na ugumu mkali

Dada poa sikushauri japo wakati mwingine hata mademu zetu wanaweza wakawa dada poa bila sisi kujua
 
Wapo hapa mtaani kwangu juzi mkesha wa mwaka mpya kuna jamaa alivusha Malaya wawili pisi za uhakika! Makubaliano atawalipa 20k kila mmoja! juu imefika usiku saa tisa jamaa kashakojoa Malaya wanataka hela jamaa analeta stori, likiwaka nakwambia Malaya walileta vurugu tena nje wako uchi wa mnyama ilikuwa hapatoshi
 
Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke mwema, na usipo kua mwangalifu unaweza ukajipatia mental disioder hivi hivi.

Sasa ili kujilinda nimeamua rasmi nianze kununua dada poa kama njia ya kuburudisha moyo wangu, japo sijawahi kununua dada poa tokea ni zaliwe na nilijiapiza sitokaa kununua dada poa na kuwekeza nguvu kubwa sana katika kutafuta mke mwema ila mipango na malengo yangu yote imegonga mwamba nazidi kua mpweke sana

Nimejaribu kila michezo na kujichanganya sana na watu, kunywa pombe kali sana , kuhudhuria viwanja na kadhalika na kadhalika lakini nikajakugundua furaha yangu kubwa ni kuwa na mwanamke na ndiyo maana niliwekeza sana kwenye kutafuta mke ili kuziba hili pengo la upweke katika moyo na nafsi yangu.

Ndugu zangu nahitaji kuanza kununua wale dada poa either wa mtandaoni au wale wa kumbi za starehe mitaani ila wawe na hadhi thabiti na lengo hasa ni kustarehesha moyo wangu na nafsi yangu maana nimegundua pombe kali sii kitu ni kipoozeo cha muda tuu.

Pia nikipata mke mapema nitaghairi huu mpango wangu na hakika nitaoa na kuleta mrejesho kwenu,

Wanawake na wakaribisha Pm yangu na hata wenye link (weka pm) au wanaojua dada poa wenye hadhi wanako patikana naombeni mfunguke hapa

Najua ni risk sana kununua dada poa ila tuombeane heri tuu maana sina jinsi tena.

Nb: Kama kuna mwanamke atakua teyari kuolewa na mimi kuniepusha na hichi kikombe aje pia PM ila aandike yupo teyari kua mke kwa dada poa andika kabisa wewe ni dada poa.
Uzi tayari

Wabongo kwa kupenda attentions ni balaa
 
Mwanamke wangu wa kwanza kabisa alikua Ni Malaya. Mimi Niko 17 years mwenzangu Yuko 40 huko. Eeh bwana eeh. Mama kavua nguo za ndani mguu mmoja kautupa Mwanza mwingine Tanga. Sina uzoefu wowote, akamchukua abdala kichwa wazi kamuweka makao makuu Dodoma. Enzi hizo nyama nyama no makaratasi. Dakika tatu nyingi shilingi zangu nne zimekwenda.
Kama wewe Ni kijana, achana na Malaya au mishangazi. Utanishukuru baadaye.
 
Back
Top Bottom