Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,527
Tupo hapaJamani wadada mko wapi?
Tupo hapaJamani wadada mko wapi?
hahaaaaaa we sio mzima yaan LOL[emoji23] [emoji23] [emoji23] madame unanicheka mwenzio nna matatizo haya bwana
Mbona mpo kmyaaTupo hapa
Tupo illuminataJamani wadada mko wapi?
Hayaaa,naomba unijuze kama wajua kuhusu mada hapo juuTupo illuminata
Kwa kweli sijawahi kuzitumia nami najifunza hapa.Hayaaa,naomba unijuze kama wajua kuhusu mada hapo juu
Okay mamiii kumbe nawe wataka kujua kama mimi..ngoja tuwasubiri wenginee wanaoelewa!Kwa kweli sijawahi kuzitumia nami najifunza hapa.
Mama me sijawah tumia hizo pads kwa kweli naishia kuziona kwa macho tuuMbona mpo kmyaa
Okay mamiii..wacha tuendelee kusubiri wengine wengine!Mama me sijawah tumia hizo pads kwa kweli naishia kuziona kwa macho tuu